Kitaeleweka
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 394
- 88
Wakuu heshima kwenu,
Budget yangu ndo hiyo nahitaji simu isiwe blackberry nataka kuhamia android na si lazima iwe mpya hata used iliyo ktk hali nzuri japo mpya ingenifaa zaidi. Mawazo na ushauri wenu pls