Nina tatizo la uume mdogo na kushindwa kusimamisha

Unaitune akili yako ikubali hilo jambo,unadhani utaweza kuikataa akili ikishakubali.? Usifikirie hivo hata siku moja,jaribu kuongea na watu wazina sana wababu wwababu watakusaidia. To a kabisa mawazo ya ushoga
Asante kwa ushahuri
 
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 26 nasumbuliwa na ishu ya uume kushindwa kusimama vizuri na pia ni kibamia cha hali ya juu, hali hii imeniathiri kisaikolojia kabisa kwani hata kuingia kwenye mahusiano nimeshindwa, na hii hali imesababisha watu wahisi labda mimi ni shoga hali hii inaniuma sana ila ndo hivyo sina jinsi, naomba kujua nawezaje kuitibu hali hiii????

Nimejaribu kwenda hospitali tofauti tofauti ila bado sijapata jibu nifanyaje??

Pia watu wengi ninaojaribu kuwaelezea badala ya kunitia moyo ndo kwanza wanaenda kutangaza kwa wengine na kunikatisha tamaa kwa kuniita majina mengi kama hanisi/shoga.

Niko hapa natamani kufa maana naona hii dunia haina maana tena, nawaza kufa kufa tu hapa....mbele naona kiza kinene sana.
tumia alkasusu
 
Weuna yumba minateseka nipunguze weunasema unamdogo siushukuru mungu unaingia kwenye game naunacheza hata sekunde 30 yan mm mwaka wa 2sasa natafta dawa yakupunguza maanake nkingia kwenye game dem akiona hataki tufanye kabsa
 
Inavyoonyesha una msongo wa mawazo sababu watu wanakuita majina mabaya mpaka inapelekea hujiamini sababu unasikiliza sana maneno ya watu kuliko akili yako(Sina Maana mbaya)
Sikia Kwanza jiamini Sema Mimi ndio kidume ndio Maana wazazi wangu wamenileta duniani fanya mazoezi,kunywa maji ya kutosha,kula mlo kamili
Mrudie mungu wako Kama huwezi mrudia mungu wako,sikiliza mziki, cheza game ngumu za kusisimua akili Kama hit man,call of duty au check horror movie, sci-fi movie ili kuondoa mawazo fanya kazi zako hakuna kusikiliza mtu anasema nini???

Ukifuata hivyo utakua normal.
 
Pole kwa tatizo hilo, ufumbuzi uko.
Jibu
Ishu ya uwezo wakusimamisha inawezekana kupata msaada. Kuhusu umbile la uume wako ipo kazi/wajibu waweza fanya na ukapata kuongezeka walau 1.5Inch.
Itategemea juhudi zako. Pia ziko techniques zakufuata ili uweze kumrithisha mpenzi wako.
Ni PM kwa msaada.
 
Back
Top Bottom