dr shadrack
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 230
- 21
Anayejua dawa asili au tiba asili ya tatizo hili natanguliza shukrani zangu.
Are come are go😂😂😂😂😂Dr shadrack are serious..!!!
Kwema mkuu, vipi ulipata suluhisho ya changamoto yako?Anaye jua dawa asili au tiba asili ya tatizo hili natanguliza shukrani zangu
Shukran kwa mchango wako mkuuChukua bangi mbichi yale majani yake kamulia kwenye sikio, hakikisha vimajimaji vinaingia kwenye sikio.
Fanya hivyo kwa siku tatu utakuja kunishukuru.
Shukran kwa mchango wako mkuu
Hii itakuwa hatari na nusu! 😊Chukua bangi mbichi yale majani yake kamulia kwenye sikio, hakikisha vimajimaji vinaingia kwenye sikio.
Fanya hivyo kwa siku tatu utakuja kunishukuru.
Apo chukua bangi mbichi kamulia sikioni
Hii itakuwa hatari na nusu!
Habari. Je, kabla hii hali haijakutokea uliugua mafua kaka?Anaye jua dawa asili au tiba asili ya tatizo hili natanguliza shukrani zangu
Shida ni imani zao juu ya bangiNimemwambia! Wengine wanajua matani, ila ni dawa nzuri na ya uwakika
Mkuu hata mimi nina shida hiyo kwa miaka kadhaa sasa na bado sijawahi kwenda hospital.Kuna kipindi nikitoa mwayo masikio yanaachia halafu baade yanaziba tena.ULIENDA HOSPITAL GANI MKUU?Nilidumu na tatizo hili Kwa miaka 5 bila kujua shida nn?? Wakati mwingine nlikua nikiamka asubuhi limeziba badae linaachia until 2021 likaziba mazima.
Nilienda hosp Kuna kipimo wanaingiza maskion wakasema ni uchafu umefunga njia.
Sehemu ya kwanza alikua alitumia maji ya uvuguvugu na syringe anapress anaayaacha Kwa muda anayatoa.. alitoa uchafu ila sikio halikuzibuka.
Solution
Siku Moja nikiwa kwenye home niliamua kutumia pamba za masikio na dawa ya maji (wengine huweka hii dawa machoni)
Nilikua naiweka sawa Kwa dk 2 Kisha narefusha Ile pamba na kuingiza sikioni EBWANAAAAA EEEEE pamba ilikua inatoka nyeusi tiiiii. Niliendea hivyo Kwa muda mrefu nkasikia paaa limezibuka from there sijawahi kukutana na CHANGAMOTO hiyo tena
Nilichojifunza then nikwamba sikio Lina njia ndefu kidogo Kwa ndani sisi hua tunasafisha Kwa juujuu tu na wakati mwingine kuongezea uchafu kwenda ndani na kwamuda mrefu ule uchafu huganda na kua mzito na kufunga njia na waathirika wakubwa ni watumiaji WA earphones.
Earphone( nadhani Sina uhakika) hulazimisha sikio kuzalisha nta nyingi Ili kujinda na sound kubwa nwa muda mrefu nta hiyo hugeuka uchafu.
Nashauri kufanya checkups mara Kwa mara Ili kujua CHANGAMOTO mapema
Mimi niliwahi kupata changamoto kama hii 2020 na 2021 nilikuwa nasumbuliwa na Tinnitus kwa muda sikio moja linapoteza kabisa uwezo wa kusikia.Kwema mkuu, vipi ulipata suluhisho ya changamoto yako?
Maana na mimi nimekumbwa na tatizo kama hilo, sikio linaziba na kunakuwa kama na nta kwa ndani kabisa zinasababisha kupoteza usikivu.
Exactly mkuuu........ Nenda popote tu Wana kakipimo flani na Wala sio gharama na hakamalizi hata dk 3 kujua kama ishu ni uchafu..... Hilo ya miayo nilikua nalo, au ukikimbia au kubonyeza sikio Kwa nje linazibuka.......Mkuu hata mimi nina shida hiyo kwa miaka kadhaa sasa na bado sijawahi kwenda hospital.Kuna kipindi nikitoa mwayo masikio yanaachia halafu baade yanaziba tena.ULIENDA HOSPITAL GANI MKUU?