Nina tatizo la kwenda chooni mara kwa mara

Mark ngengele

Member
Dec 27, 2019
17
0
Habari ya Leo wana jf?

Ninakuwa na tatizo la kwenda chooni Mara kwa Mara nikaamua kwenda hospitali wakanipima stool wakakuta nikona malabsorption inayosababishwa na microorganisms.

Walinipa dawa ya secnizole na zengine za minyoo but naona kama hazinisaidii kama kuna dawa nyengine naomba kushauriwa sababu nikirudi wananipa hiyo hiyo moja.
 
Habari ya Leo wana jf? Ninakuwa na tatizo LA kwenda chooni Mara kwa Mara nikaamua kwenda hospitali wakanipima stool wakakuta nikona malabsorption inayosababishwa na microorganisms walinipa dawa ya secnizole na zengine za minyoo but naona kama hazinisaidii kama kuna dawa nyengine naomba kushauriwa sababu nikirudi wananipa hiyo hiyo moja.
Hellow.
Pole sana kwa tatizo ulilonalo.
Japo unaonekana haujui kujieleza!
Kuna tofauti kati ya kwenda chooni mara kwa mara na Kujisaidia mara kwa mara.

Labda kukusaidia:
Wee ni Ke au Me?
Una Kg ngapi kwa sasa?
Tatizo lako lina nda gani?
ukienda chooni unapata choo?
Choo kilaini, kigumu, mavi ya mbuzi?
Ume observe choo kina rangi gani?
Haujaona kama umepungua Kilo? Labda nguo kulegea?

Hakuna malabsorption isiyokua na jina.

Unashindwa ku absorb vyakula gani?
Mafuta?
 
Hellow.
Pole sana kwa tatizo ulilonalo.
Japo unaonekana haujui kujieleza!
Kuna tofauti kati ya kwenda chooni mara kwa mara na Kujisaidia mara kwa mara.

Labda kukusaidia:
Wee ni Ke au Me?
Una Kg ngapi kwa sasa?
Tatizo lako lina nda gani?
ukienda chooni unapata choo?
Choo kilaini, kigumu, mavi ya mbuzi?
Ume observe choo kina rangi gani?
Haujaona kama umepungua Kilo? Labda nguo kulegea?

Hakuna malabsorption isiyokua na jina.

Unashindwa ku absorb vyakula gani?
Mafuta?
 
Mume, 60kg umri 28 kilo zimepungua,choo laini na brown kingi kuliko kawaida kwanza mafuta haiobsorp
 
Mume, 60kg umri 28 kilo zimepungua,choo laini na brown kingi kuliko kawaida kwanza mafuta haiobsorp
Lwa hiyo unapata Steatorrhea(Choo chenye mafuta)
Basi hapo hamna shortcut ni vipimo Mkuu,
Fat Malabsorption/Maldigestion ina causes zake na hauwezi tibu kama haujui kisababishi/Cause
 
Back
Top Bottom