Nina tatizo la kuwahi kufika kileleni

Jul 4, 2021
13
11
Mimi ni mgeni katika sex ni mara 2 nimesex tangu nizaliwe na ni mwezi umri miaka 24. Sasa nina shida moja mashine yangu kabla ya kuanza inasimama balaa ila nikianza game dakika 2 nimepizi.

Natulia sekunde inaanza kusimama tena. Juzi nilipiga bao 6 ila mtindo ndio ule ule nikishaingiza tu ndani ya dakika 2 zimezidi 3 nimeshapizi.

Sasa solution ni nini?
 
Mimi ni mgeni katika sex ni mara 2 nimesex tangu nizaliwe na ni mwezi umri miaka 22

Sasa nina shida moja mashine yangu kabla ya kuanza inasimama balaa ila nikianza game dakika 2 nimepizi
Achana na kumaliza show kabla ujafika eneo la tukio.

Vijana wengi tunafanya mapenzi kwa imagination kabla ya shughuli yenyewe husika, muda ukifika ushachoka akili na utulivu.

Relax, kula vizuri na ujipe muda wa kupumzika vizuri. Tatizo litaisha hilo
 
Tuliowahi kupiga nyeto hatuna hilo tatizo.Be inspired
Kwenye nyeto kulipata la pili ilikuwa mtihani na nilikuwa naishia la kwanza tu. La pili mpk dakika 15 nijivute ndio lije ila now hata la pili hata la tatu na kuendelea yanakuja fasta tu.

Ila niliacha kitambo nikaanza kumsifu Yesu

Ila now ushetani umeniingia mwezi huu
 
Achana na kumaliza show kabla ujafika eneo la tukio.

Vijana wengi tunafanya mapenzi kwa imagination kabla ya shughuli yenyewe husika, muda ukifika ushachoka akili na utulivu.

Relax, kula vizuri na ujipe muda wa kupumzika vizuri. Tatizo litaisha hilo
Hii nayo ni shida kwangu. Sex zote mbili nilikuwa naziwaza siku moja kabla hata ya kusex

Itakuwaje nitakaaje mpk natamani angekuwa hata sasa.

Ngoja nianze kuona kawaida tu now.
 
Mimi ni mgeni katika sex ni mara 2 nimesex tangu nizaliwe na ni mwezi umri miaka 22

Sasa nina shida moja mashine yangu kabla ya kuanza inasimama balaa ila nikianza game dakika 2 nimepizi

Natulia sekunde inaanza kusimama tena

juzi nilipiga bao 6 ila mtindo ndio ule ule nikishaingiza tu ndani ya dakika 2 zimezidi 3 nimeshapizi

Sasa solution ni nini

Kwa hiyo unataka tukufundishe zinaa?
 
Mimi ni mgeni katika sex ni mara 2 nimesex tangu nizaliwe na ni mwezi umri miaka 22. Sasa nina shida moja mashine yangu kabla ya kuanza inasimama balaa ila nikianza game dakika 2 nimepizi.

Natulia sekunde inaanza kusimama tena. Juzi nilipiga bao 6 ila mtindo ndio ule ule nikishaingiza tu ndani ya dakika 2 zimezidi 3 nimeshapizi.

Sasa solution ni nini?
Acha nyeto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom