Nina tatizo la gout ipi dawa nzuri?

Nina tatizo la gout ipi dawa nzuri?

Hospital watakupa dawa lakini ni za kutuliza tuu kwa muda baadae tatizo linarudi tena jaribu dawa za kimasai ni nzuri mno.
Ila kama ushaanza za hospital usichanganye tafadhali
Nimeshaanza za hospital je naweza kupumzika kisha baadae nikafanya za kimasai?na je unaweza kuzijua nzuri maana baadhi ya wamasai nao siku hizi wasanii kidogo
 
Nimeshaanza za hospital je naweza kupumzika kisha baadae nikafanya za kimasai?na je unaweza kuzijua nzuri maana baadhi ya wamasai nao siku hizi wasanii kidogo
Vp ulipata dawa na ukapona!.
 
Rhubarb (roots) inatibu, wasiliana na phisician kabla yakutumia hakupe maelezo ya dozi. Inatumika kwa kidogo sana.
 
Vp ulipata dawa na ukapona!.
Nilipona vema sana tatizo lilitokana na matumizi ya dawa kimakosa(aloprino)kama nilivyopewa hospital nilikaa baada ya mda tatizo likapotea namshukuru Mungu niko poa sana
 
Nilipona vema sana tatizo lilitokana na matumizi ya dawa kimakosa(aloprino)kama nilivyopewa hospital nilikaa baada ya mda tatizo likapotea namshukuru Mungu niko poa sana
Sijaelewa, Ila hongera.
 
Back
Top Bottom