Nina tatizo la gout ipi dawa nzuri?

Nina tatizo la gout ipi dawa nzuri?

Tena sana ila nadhani mengi yanatengenezwa na haya haya madawa tunayotumia maana mi sikujua kabisa haya maswala ya uric acid nimeenda dr kanipa dawa na baada ya kuutja ugonjwa nimejikuta sasa ni almost victim wa the so called uric acid anyway najua Mungu ataniponya nitakuwa mzima kabisa
Naamini Mungu atajaalia utakuwa vema tu
 
Piga "chuku" kwenye magoti, pia tumia samli

Utapona kabisa
 
Piga "chuku" kwenye magoti, pia tumia samli

Utapona kabisa
Unajua kiuhalisia mimi sio gout kabisa kabisa ila ni uric acid ambayo pia huwa inapelekea gout
 



Hiyo link itakupeleka kujifunza mengi, hapo anatatua tatizo la maumivu ya mgongo etc

Mwili una nukta muhimu (pressure points)

Kila tatizo lina nukta yake ya kulishughulikia.
 
Hospital watakupa dawa lakini ni za kutuliza tuu kwa muda baadae tatizo linarudi tena jaribu dawa za kimasai ni nzuri mno.
Ila kama ushaanza za hospital usichanganye tafadhali
 
Back
Top Bottom