aman abdalah
Member
- Jun 6, 2014
- 53
- 4
Hallow JF DOCTORS nawasalimu wote..,
Ahsanten kwan najua mnaenda kunishauri ushauri mzuri au yawezekana nyie ndo mkawa mwisho au ufumbuzi wa tatizo nililo nalo.
Jaman mim ninataizo moja mwilini mwangu ambalo silielewi ni la aina gan nashindwa kujua nifanyaje ili niweze kupona kabisa na kuwa na aman maishan mwangu.Tatizo hili lipo ndani ya tumbo langu kiukweli silielew na nila mda mrefu xna.
JE,dalili zifuatazo ninaweza kuwa na ugonjwa gani....?
1.tumbo kujaaa gesi pindi nilapo chakula na kupumua hewa chafu mara kwa mara yaaan kama vile kuna mtungi wa gesi tumboni na gesi hiyo inapotoka angalau napata nafuuuu.
2.kuenda haja kubwa mara kwa mara na haja kuwa sio ya kawaida yaaan kuwa kilaini kupita kiasi.
3.kiuno,mgongo kuuma xna kupita kiasi kwani ninapoinama nihci kama kuna vitu vinavunjikavunjika kwenye kiuno changu.
4.kupata maumivu makali chini ya kitovu.
5.tumbo kuwa na hali ya umaji na wakati mwingine kusikia yakitembea tumboni.
6.mwili kufa ganzi haswa miguuni.
7.kuwa na hali ya ukavu tumboni.
NASHUKURUNI SNA JF DOCTORS kwani najua mtanipa njia ya mimi kupona,ahsanteni xna na MUNGU nawabariki,nisaidieni kwa uaminifu please,.