Nina tatizo gani?

we ndo hujui raha, tuulize sisi, nikilipata Semi Trela naliendesha toka dar mpaka mwanza, mie nna allergy na vimbau mbau, mwisho kavunjikie kitandani, kitu iwe na kalio la uhakika ndo burudani yenyewe
 
Nunua miwani....yenye lenzi mbonyeo.....ukitaka kupiga unaivaa, kumbuka kuifunga na kamba isitoke...jaribu hii mkuu itakusaidia
 
Swali: How old are you!Nina wasiwasi kwamba mwenye matatizo ni wewe na sio wao.
 
Mkuu kuna msemo unakwenda hivi "Different Strokes for Different Folks". Kwa hiyo wewe Kama Mzuka wako uko kwenye wanawake wenye makalio madogo...basi huo ndio wito wako mkuu. Chanja mbuga na kina Betina mpaka kieleweke..kina Zena waachie wenyewe. Wasije kukuzushia kijana si rizki..si unajua watoto wa mujini tena.
 
Asante kwa ushauri mkuu
 

hapa atakaemshauri huyu Mango Pickle mungu amlaani! sa ye kipaji chake cha walopigwa pasi anataka na wenye makalio makubwa tena anataka wengi, sasa wengine watapata wapi!? we kijana unatakiwa utulie hiyo ni natural selection ukilazimisha utapata majanga mbele za mungu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…