Mama angu ameumwa mwaka na miez sita sasa,
Sema ameenda Moi wanamfanyisha mazoezi na kumuingiza kwenye mashine naona ana improve manake iligika muda hata kutembea hawezi.
Zingatieni mikao yetu sana na jitahd kula vyakula vya calcium kwa wingi,pia kula fats kwa wingi uongeze uzito ila cha zaidi nenda Hospital ya MOI utapata tiba yy alekua anaenda hospital Bugando na KCMC ila tulivyo muhamishia Moi asee ali improve sana tu ,
Zaidi usifanye kaz nzito za kuinamisha mgongo wala kutembea umbali mrefu.