BwanaX
Senior Member
- Mar 5, 2015
- 123
- 46
Habari?
Mimi ni kijana wa miaka 32 sijawahi kufanya mapenzi tangu kubalehe kwangu, nahitaji msichana mkristo safi mwenye kumuogopa Mungu, umri si zaidi ya 30, ambaye atakuwa wa kwanza na wa mwisho kwangu.
Kukaa kwangu muda hivyo nikwasababu niliingia utawani nakutoka rasmi mwaka jana mwezi wa 5 nlipoamua kufanya hivyo. Kwa walio seriously pekee.
Karibuni