mkuyati og JF-Expert Member Joined Apr 19, 2011 Posts 821 Reaction score 589 Apr 23, 2012 #1 Wapendwa wenye uchungu na nchi hii, hivi ingekuwa vipi kama teknolojia ingeruhusu kumpiga risasi mtu unayemuona kwenye television na kumuua kwa kupitia tv hiyo hiyo?? Hali ingekuwaje katika hizi wiki mbili zilizopita?! Sipati picha
Wapendwa wenye uchungu na nchi hii, hivi ingekuwa vipi kama teknolojia ingeruhusu kumpiga risasi mtu unayemuona kwenye television na kumuua kwa kupitia tv hiyo hiyo?? Hali ingekuwaje katika hizi wiki mbili zilizopita?! Sipati picha
WaliNazi JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 851 Reaction score 96 Apr 23, 2012 #2 ...nifahamishe....nini kimetokea ktk TV ..!!?
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Apr 23, 2012 #3 Ningeanza Makinda na JK
mkuyati og JF-Expert Member Joined Apr 19, 2011 Posts 821 Reaction score 589 Apr 23, 2012 Thread starter #4 mi ningetembeza njugu kwa mawaziri wootee.
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,841 Reaction score 37,579 Apr 24, 2012 #5 Me ningem-bomb! Kabisa Baba "Acha", Mana achiniletee nchen'jo.
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Apr 24, 2012 #6 mmmh, nenda kule home kwa pinda ukachukue mazingaubwe.