Nina swali jamani

hawa ndo wale wanaoelekezwa chooni wakiuliza kwa fulani ni wapi....
 
Wengine kszi zao za tigo pesa na m pesa zinawaruhusu kushinda kwny social networks... we fanya yako.
 
Ndo nimechanjiwa humuu nifanyajee addicted cku mingiii
 
usiige kunya kwa tembooo humu watu waache kama walivyo junior.cux unalipwa toka lini
 
Last edited by a moderator:
ni PM nikuunganishie na kaz ambayo utakua na muda mwng wa kuchat lakn mshahara mkubwa
 
Tamalisa

Si jukwa hili na majukwa yote.

Mkuu, kila mtu ana muda wake wa kuendesha maisha yake. Siamini kama kuna watu wapo humu muda wote. Ndio maana kuna post nyingi zinaulizia mtu fulani yupo wapi au anapoonekana huulizwa alipotelea wapi. Kuna kipindi utamwona mtu fulani kila wakati lakini pia kuna vipindi hupotea kabisa.

Na sio kila mtu anaye post humu yupo Tanzania! Wakati mwingine mtu anaulizwa - hulali wewe? Inawezekana huko aliko ndio mchana!

Mimi binafsi naweza kuchungulia humu na kuchangia nikiwa kazini. Ni suala la kutupia macho humu kwa dakika kadhaa na baadaye kazi inaendelea.
 
Last edited by a moderator:
Jamii forums ndiyo mume wangu,kipenzi changu,mahabuba, lahazizi wangu unajua ukiwa na mpenzi unavyombana na hanisumbui full burudani.
 
usiige kunya kwa tembooo humu watu waache kama walivyo junior.cux unalipwa toka lini

hahha ninamiezi sasa... ka hujaanza kulipwa nambie nikuunganishe kwenye payroll ya jf!!!!
 
Last edited by a moderator:
hiki ni kijiwe cha kupungia upepo.. kama wazee wacheza bao...


kuna mtu alishawai kusema humu. watu wa maana hawashindi jamiiforums maana wapo busy sana na majukumu yao..

unategemea kumkuta mtu aliyefanikiwa level za patrick ngowi au dewji humu?? au corporate key peoples, busy businessman / woman ana post mda wote jamiiforums??

humu tumejaa janja janja tu.. hata wenye kazi wengi wetu humu tunaoandika ma thread na kukoment kila saa, ni subordinates tu na un employed people ndio maana tunashinda sana humu kujiliwaza na kuji keep busy..


jiwe limerushwa gizani hilo. ukisikia yalaaa jua limempata mtu
 
Tamalisa

Umejuaje watu hawakawii kujibu kama na wewe huchungulii kila mara?
 
Last edited by a moderator:
wengine jf ni nusu ya maisha nikikosa kuingia hum cjui itakuaje!!!
 
kuna wanaofanya kazi usiku tu,tena hawalipi kodi.Muda kama huu wao wanachati tu,usiku ukiingia wanaingia kazini
 
Nina Id zaidi ya 10
Kila ID inaingiza 7,000/= (post),
28,000 (thread)

Kila siku lazima nianzishe thread 10 kwa na comments (post) 50.

Nasign 630,000/= daily hapa JF.
Ata incentives nyingine kama mafuta, lunch, airtime+ internet bundles etc.
We unayefanya kazi inayokufanya uulize hayo maswali una sign sh. Ngap kwa siku?

Sasa kwa nn nisi comment thread haraka kujihakikishia income yangu?


Jamii forums pays!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…