Mdau Binafsi nakushangaa. Hata miezi miwili hujamaliza una posts 296, ni nyingi sana. Kuna members wengine wamejiunga JF toka 2012 hawajafikisha idadi hiyo. ni wazi kabisa uko busy sana na JF, nahisi hata hupumziki
Hiyo inaitwa nyani haoni kundule! Usiwaze sana hayo ni madhara ya kutenda kabla kufikiri.
Some of us got it made.
Mtu utawaza sana hivi huyu mbeba maboksi hayo maboksi anayabeba saa ngapi?
Manake kila muda yupo tu humu.
Funzo: usiige tembo kunya.....
Uwiiiiiiiiiiiiiiii haha ha ha ha ha ha napita tu
Some of us got it made.
Mtu utawaza sana hivi huyu mbeba maboksi hayo maboksi anayabeba saa ngapi?
Manake kila muda yupo tu humu.
Funzo: usiige tembo kunya.....
Tupo Hapa, Ni Mpangilio Wako, We Mda Wako Wa Kupumzka Unajua Unafanya Nin Au Mda Wa Lunch Unaenda Kuusaka, Kwa Upande Wangu Mda Wa Kupumzka Napenda Kuingia Jf, Narefresh Sana Sana,