urafiki wa mbali tabu tupu....
sitaki hata kuusikia, na kwa teknolojia ya sasa, watu huishia kutumiana nyuchi zao huko wazap, viber...
wakati hapa uswazi kwetu wamejaa wadada wa haja, lol.... endeleeni kuumia.
Msongo wa mawazo, ni kujitakia mwenyewe, hivi inakuwaje katika hii dunia hadi uwe na msongo wa mawazo, tafuta starehe ambayo itakusaidia. Wewe unakosa raha mwenzio huko alipo pengine anakula bata