Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,979
- 5,295
UTI? How?
Mzee mwenzangu najua unalopitia kama story ni kweli 🥲🥲Wanajamvi habarini, juzi kati nilikwenda kwenye moja ya machimbo maarufu ya malaya hapa Dar, tulitumia kinga na kinga haikupasuka, ila tulidumu kwa muda mrefu kidogo, baadaye nikagundua kuwa kwenye uume shingoni kulikuwa na mchubuko, na baada ya kama siku mbili hivi naanza kuhisi macho yanakuwa kama mazito hivi, kichwa kinakuwa chepesi, uchovu kwa mbali basi. Hamu ya kula ninayo, nina dalili hizo tu... Nimeanza kuogopa muda huu, yaani natamani kulala kila muda.
Kwaiyo ndugu unadhani hao wa kitaani ni wa kwako peke yako? Ni bora ujue kuwa huyu ni malaya ili upige kimalayamalayaDuh mkuu wanawake mtaani hakuna hadi ukalale na mwanamke wa kila mtu. Duh, mm sijui nikoje aisee hao naona kinyaa kabisa as longa as najua anajiuza sio salama kwa a
Matumizi sina hakika labda sababu mm mzee wa pekupeku
Mkuu wahi pharmacy ulizia kuna dawa inaitwa P2 meza za kutosha sijui inafanya nini wewe waelezee tatizo lako wakupe.... nasikia wajanja wa mjini wanamezaga wakitoka kuuza mechi