Mkuu pharao vipi ulipata solution ya hilo tatizo?! Kama ndiyo, naomba unijuze manake nami mtoto wa sister ana hilo tatizo, na mbaya zaidi ana kisukari kwahiyo wanasema operesheni itakuwa vigumu
Kuna mama ametolewa Muhimbili kama ana wiki 3 sasa toka wamfanyie operationi na pia ana kisukari na sasa anaendelea vzr kbs alisharuhusiwa kurudi
Ana kama 65 yrs
Toa shaka bali kazana maombi akafanyiwe
Ninachojua wanatolewa hizo jiwe
Kuna mmama katolewa Muhimbili ana wiku ya 3 sasa na anaendelea vzr kbs na isitoshe age ineenda ana kama 65 yrs na kisukari pia