Usihofu kabisa.Mawe kwenye nyongo hayana tiba mbadala. Ni kuitoa tu. Ukishatolewa nyongo vyakula vyenye mafuta itakuwa kwako ni mwiko. Utaishi miaka mingi tu.
Je hakuna dawa mbadala wa operation? Ningependa kufahamu maana nina ndugu yangu wa karibu anasumbuliwa na huo ugonjwa
Asante mkuu, nasubiri kama kuna mtaalam aniambie kama kuna dawa mbadala wa operationPole sana Ukiweka shida yako mbelw ya watu wengi ni rahisi kupata msaada maana ndipo yalipo maarifa
Ishallah utapataAsante mkuu, nasubiri kama kuna mtaalam aniambie kama kuna dawa mbadala wa operation
Hayo mawe yanaingiaga vipi kwenye nyongo?Habari, nina shida ya mawe kwenye Nyongo. Nimejaribu kumuona Daktari anashauri nifanyiwe operation ya kutolewa nyongo yote.
So naombeni ushauri waliowahi kupitia hayo mambo huwa wanaishi kwa muda kweli?
Ni changamoto gani nitakutana nazo baada ya operation. Je kuna aina ya tiba mbadala ninayoweza kuifanya ikanisaidia kabisa?
😭😭😭Mkuu pharao vipi ulipata solution ya hilo tatizo?! Kama ndiyo, naomba unijuze manake nami mtoto wa sister ana hilo tatizo, na mbaya zaidi ana kisukari kwahiyo wanasema operesheni itakuwa vigumu
Zimefika MkuuDuh mpe pole
Mkuu pole kwa maradhi yako kama bado hujapona dawa ipo nitafute kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako uguwa pole.Habari, nina shida ya mawe kwenye Nyongo. Nimejaribu kumuona Daktari anashauri nifanyiwe operation ya kutolewa nyongo yote.
So naombeni ushauri waliowahi kupitia hayo mambo huwa wanaishi kwa muda kweli?
Ni changamoto gani nitakutana nazo baada ya operation. Je kuna aina ya tiba mbadala ninayoweza kuifanya ikanisaidia kabisa?
Mkuu pharao vipi ulipata solution ya hilo tatizo?! Kama ndiyo, naomba unijuze manake nami mtoto wa sister ana hilo tatizo, na mbaya zaidi ana kisukari kwahiyo wanasema operesheni itakuwa vigumu