roughly kiasi ulichonunulia gari ndo hicho utalipia ushuru,handling,port charges,shipping agent fees n.k
halelwaNAOMBA MNISAIDIE NATAKA KUAGIZA GARI AINA RANGE ROVER 4.6 YA MWAKA 1995CIF DAR ES SALAAM / TANZANIA, UNITED REPUBLIC OF is US$3438. Included JAAI Inspection fee!USHURU ITAKUWA BEI GANI?NAOMBA MSAADA WENU.PICHA YA GARI HII HAPA
nakushukuru sana kaka kwa ushauri wako mzuri!Kaka ukimiliki hii gari utagundua ni gari ambayo ni durable sana na haiharibiki hovyo,mimi nilikuwa nayo ya mwaka 2000 kuna mtu kaipenda nikamuuzia1ila nimeamua kuchukua vogue ya 2004!USHAHURI WA BURE:
Achana na hili gari kwani kulitunza ni gharama sana kuliko hata Gharama ya Kulinunua.
naomba mnisaidie nataka kuagiza gari aina range rover 4.6 ya mwaka 1995cif dar es salaam / tanzania, united republic of is us$3438. Included jaai inspection fee!ushuru itakuwa bei gani?naomba msaada wenu.picha ya gari hii hapa