Mkuu hakuna moyo wenye sura mbaya.Habari za wikiendi wanajamvi,
Kila siku nimekuwa nikiwaza kuhusiana na ukweli wa uwepo hivi viumbe, na napata hamasa zaidi pale viongozi/watumishi wanavyo vielezea viumbe hivi.
Kwa muktadha huo, nimeamua niombe kupata walau picha ya hivi viumbe ili niondoe hili dukuduku langu, maana naishia kusikia kuwa wana sura mbaya kama mioyo ya watu flani flani katika jamii zetu.
Natumaini humu kuna wajuzi wa kila idara, na hata hili naamini nitasaidiwa katika hili.
Karbuni;
Cc: mshana jr, mzizimkavu, lizabon
Viongozi wa dini na kiroho.
Ndio maana nahitaji kuziona hizo picha zao, mana nimechoka maneno ya kuambiwa kama ulivyofanya wewe hapa, kama ni mrembo we ulimuona wapi? Kama ulimuona tuma picha yakeMkuu hakuna moyo wenye sura mbaya.
Moyo wako ina sura kama ya moyo wa mbuzi tu nenda buchani ununue uone na zinafanans na ya mtu meingine.
Hayo ya kusema jini ana sura mbaya, mara shetani ana sura mbaya ni uongo tu ili uogope.
Majini ni warembo kama walivyo malaika.
Kumbuka watu wanaongea mamho ya kufikirika akilini hakuna uhalisia.
Habari za wikiendi wanajamvi,