Nina shida na nyoka mkubwa aliye hai aina ya Koboko ( Black Mamba )

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Ndg zangu.

Nina uhitaji mkubwa sana na wa haraka wa nyoka watatu aina ya Koboko ( Black Mamba ) ; jike moja na madume 2.

Kuna mzungu ameniahidi donge nono sana kama nikimpelekea hawa viumbe hai.Wanatakiwa wawe na sumu zao.

Popote ulipo nchini hii, hkimpata tafadhari tuwasiliane haraka sana. UniPM.

Nyoka 1 nitakulipa TZS 1,000,000 ( Milioni moja tu ).

Wasalaam.
 
Kwani nini watu wata leta nyoka hata kontena nzima, wewe ndo utabaki una chagua madume na majike unayo taka. Toa contact za kueleweka mkuu
 
Ndg zangu.

Nina uhitaji mkubwa sana na wa haraka wa nyoka watatu aina ya Koboko ( Black Mamba ) ; jike moja na madume 2.

Kuna mzungu ameniahidi donge nono sana kama nikimpelekea hawa viumbe hai.Wanatakiwa wawe na sumu zao.

Popote ulipo nchini hii, hkimpata tafadhari tuwasiliane haraka sana. UniPM.

Nyoka 1 nitakulipa TZS 1,000,000 ( Milioni moja tu ).

Wasalaam.

Kama uko serious tuwasiliane, kwangu shambani (Kigwa, Tabora) wako wengi sana na Wafanyakazi wangu wanawaua tu kwa hasara kuhofia kuuliwa. Mwambie huyo mzungu wako kichaa kuwa pale shambani kwangu ama Kigwa yote kuna nyoka wa hajabu sana, ni wadogo/wafupi…..ukimpiga fimbo anairukia fimbo kisha anakurukia kichwani kukugonga na wana sumu kali sana kama koboko tu. Sijawahi kuona nyoka wa aina hii hapa Tanzania ila Kigwa wako very common.
 
Back
Top Bottom