Nina shida na laki moja au elfu 80 nikopesheni

Nimepata shida ya ghafla biashara imeyumbaa. Si unajua msimuu wa Magufuli huu
So nina uhitaji wa Tsh laki moja au elfu 80 naomba mnikopeshe. Nipo kwenye kipindi cha mpitoo biashara imeyumba sanaa huku arusha ilboru

Jomoni nisaidieni ni wapi hapa mjini arusha naweza kukopaa nina shida nazo haraka mnoo ya kutumia siku mbili tatu biashara yangu imeenda chakaa
yaani acha tu

Please jomoni maana uwiiii sijui hizi siku kadhaa za mbeleni nitaishije
Dhamana yako ni nini?
 
angekua wa dar apo mngeanza maneno...aya ss iyo apo *jomoni* from nje ya dar
 
Back
Top Bottom