Nina shida na Daktari wa matatizo ya pua

Nina shida na Daktari wa matatizo ya pua

HANS FRANCIS

Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
6
Reaction score
8
Nina shida ya daktari mzuri wa nyama za pua, anayemjua tafazal anifahamishe.

Mimi nipo Dar.
 
Hakika huwezi kutibu kama hujasomea kikamilifu na uwe mwadilifu na sio mpiga dili
 
Mimi mwenyewe natafuta daktari atakayeweza nifanyia operation. Ukipata nifahamishe mkuu.

Hii shida ishakuwa kero,dawa nimetumia sana Ila wapi.Kila nikimuuliza dokta kwamba hakuna option nyingine nje na dawa?ananiambia vumilia tu endelea kutumia dawa.
 
Baada ya mzee kufariki ilikuwa magumashi labda umkute Dr Emmanuel

Mimi pia nilikua na chronic infection ya sinuses na Dr Emma ndo alinifanyia operation.... its going to 2 yrs now na nipo poa...
 
Back
Top Bottom