Nina shida na Askofu Josephati Gwajima

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Wakuu,salam kwenu nyote!

Nimekuwa na uhitaji mkubwa sana na askofu Josephat Gwajima kwa ajili ya mambo yangu binafsi, mambo ya kiutumishi wa Bwana!

Simwoni, hapatikani hewani na hata kanisani anapiga pasi ndefu.

Mwenye kujua location ya hutu mtumishi wa bwana kwa ajili ya hitaji langu.


Asante sana
 
Mpaka kanisani kwake anapiga pasi ndefu?! ndio basi tena umemkosa uyo jamaa
 
Baada ya kufukuzwa Tanganyika P alihamia Ubungo Maziwa au Kimara..sina uhakika

Ila ndo hivyo havumi tena...amebaki kutafuta kiki za kisiasa
 
Wewee ni msukulee ? Maana huyo jamaa anadeal sana na wafu au unamuhitaji akafufue hapo nyumbani kwenu
 
Back
Top Bottom