Ulimwengu Mbaya
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 1,218
- 840
nunua kuku wa kienyeji 25 ( mitetea 20 & jogoo 5 ) pesa itakayobaki itumie kukunua madawa na mtaalambwana mifugo na zitakazo vaki ni kwa ajiri yako, hao kuku wafuge nusu huria na baada ya.mwaka mmoja utajikuata una kuku zaidi ya 600 so ukiuza 8000/= unapata sh. ngapi???
have a blasting weekend
so hiyo pesa itakayobaki ndiyo atakayokula mwaka mzima huku akisubiri kuku wakue? Gharama nyingine kama maji, ugonjwa, ujenzi wa kibanda cha kufugia na cha kuishi umepigia mahesabu? Yeye akiumwa atapata wapi pesa ya dawa? michango y@ harusi/sherehe na matatizo hachangi? Mchumba wake atampa nini? VOCHA HANUNUI?nunua kuku wa kienyeji 25 ( mitetea 20 & jogoo 5 ) pesa itakayobaki itumie kukunua madawa na mtaalambwana mifugo na zitakazo vaki ni kwa ajiri yako, hao kuku wafuge nusu huria na baada ya.mwaka mmoja utajikuata una kuku zaidi ya 600 so ukiuza 8000/= unapata sh. ngapi???
have a blasting weekend
vigwaza ni maeneo gani?Wakuu naomba ushauri wenu nimenunua shamba eneo la Vigwaza Buyuni ni zao gani linaweza kunitoa kimaisha
maana kwa sasa sina kazi na nina mtaji wa 500,000/= bank.
Nahofia nikifanya biashara pesa inaweza kukatika nikiwa sijafanya jambo lolote la maana.
Nitashukuru kwa ushauri wenu.
vigwaza ni maeneo gani?
bei ya heka moja ngapi nije kuwa jirai yako
ushauri wako hasa hapo ni kitu gani??? afanye kitu gani maana nahisi kama umepayukaShamba lina ukubwa gani?
Mie pia nasafisha shamba hivi sasa maeneo hayo hayo najiandaa kulima mihogo. Kimsingi Hiyo pesa inatosha kusafisha shamba mpaka kufikia kulima kwa ekari moja kwa maana mie nina ekari 10 na mpaka sasa zimekatika 3m na sijalima wala kuweka mbegu. Changamoto ya maeneo mengi ya buyuni ni kwamba maeneo hayajaendelezwa muda mrefu na mapori ni makubwa sana pamoja na visiki vya kutosha inayopelekea gharama za kilimo kwa mwanzoni kuwa kubwa sana. Hebu angalia eneo lako na ulinganishe na mtaji wako halafu uamue kulima au la!!
Lakini iwapo utaamua kulima ekari chache basi inaweza kukuvunja moyo kwa gharama zake ulinganisha na faida. Iwapo eneo ni dogo na liko vzr endelea na kilimo ila kama ni dogo na linahitaji kusafishika sana na hauna uwezo wa kuliongeza basi nakushauri ufanye option nyingine ikiwa ni pamoja na ufugaji lkn sio huko tena kwa maana ya umbali maana ni 75-80km from dsm.
vigwaza ni mbele ya ruvu kama unatoka dsm ndipo ulipo mzani na buyuni ni 8km kutoka barabarani kuingia kulia. Mashamba kwa mwaka 2012 tulinunua laki 3 na nusu ila sasa hadi laki 6 kwa ekari moja
ushauri wako hasa hapo ni kitu gani??? afanye kitu gani maana nahisi kama umepayuka
wasemeheni wanao waudhi.. hahaha christmass njema msaniWe unawashwa au unataka kuolewa?
Kama haujaona nilichoandika na kushauri kaa kimya pumba wewe. Unawezje kumshauri mtu bila kujua mazingira au kwakuwa eneo linalozungumziwa haulijui vzr.
Buyuni panaota mazao kama mahindi, mtama, ufuta, mihogo,kunde, maboga na karanga, korosho zipo na embe zinastawi. Buyuni ni eneo mwafaka kwa ufugaji anuwai. Tatizo la Buyuni ni manpower na maji wakati wa kiangazi, hasa kwa wenye mitaji midogo. Kwa sasa Buyuni panakuja vizuri, maji ya Bomba yapo, na huenda siku si nyingi umeme utakuwepo.Wakuu naomba ushauri wenu nimenunua shamba eneo la Vigwaza Buyuni ni zao gani linaweza kunitoa kimaisha
maana kwa sasa sina kazi na nina mtaji wa 500,000/= bank.
Nahofia nikifanya biashara pesa inaweza kukatika nikiwa sijafanya jambo lolote la maana.
Nitashukuru kwa ushauri wenu.
mkuu bana yapo hayaShamba lina ukubwa gani?
Mie pia nasafisha shamba hivi sasa maeneo hayo hayo najiandaa kulima mihogo. Kimsingi Hiyo pesa inatosha kusafisha shamba mpaka kufikia kulima kwa ekari moja kwa maana mie nina ekari 10 na mpaka sasa zimekatika 3m na sijalima wala kuweka mbegu. Changamoto ya maeneo mengi ya buyuni ni kwamba maeneo hayajaendelezwa muda mrefu na mapori ni makubwa sana pamoja na visiki vya kutosha inayopelekea gharama za kilimo kwa mwanzoni kuwa kubwa sana. Hebu angalia eneo lako na ulinganishe na mtaji wako halafu uamue kulima au la!!
Lakini iwapo utaamua kulima ekari chache basi inaweza kukuvunja moyo kwa gharama zake ulinganisha na faida. Iwapo eneo ni dogo na liko vzr endelea na kilimo ila kama ni dogo na linahitaji kusafishika sana na hauna uwezo wa kuliongeza basi nakushauri ufanye option nyingine ikiwa ni pamoja na ufugaji lkn sio huko tena kwa maana ya umbali maana ni 75-80km from dsm.
Mkuu naona hii post ya muda sana tusubiri waje kujibu ila mm pia nahitaji eneo huko mkuu tushituane ukipata mrejesho..Wakuu uchimbaji wa Kisima inawezekana nije kucheki Maeneo
Hayo yote yapo na yatakuwepe milele ili mradi yuko hai, hivi kwani kwa sasa hali? hatoi michango ya harusi? hanunui vyocha??? try and think outside the box, kwa upande wangu ukitoa basic needs HAYO MENGINE YOTE NI CHOICE TU, ANAUWEZO WA KUISHI BILA KUWA NAVYO HADI ATAKAPOKUWA NA UWEZO WAKUJIPATIA MWENYEWEso hiyo pesa itakayobaki ndiyo atakayokula mwaka mzima huku akisubiri kuku wakue? Gharama nyingine kama maji, ugonjwa, ujenzi wa kibanda cha kufugia na cha kuishi umepigia mahesabu? Yeye akiumwa atapata wapi pesa ya dawa? DAWA MSETO NA ZINGINE HAZIMUITAJI HATA SENTI MOJA KUZIPATA NA KUZITUMIA NA KUPONA michango y@ harusi/sherehe na matatizo hachangi? Mchumba wake atampa nini? VOCHA HANUNUI?