Nina proposal inayohusu maswala ya afya, wapi naweza kuiwasilisha?

Nina proposal inayohusu maswala ya afya, wapi naweza kuiwasilisha?

Sahani20

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
1,517
Reaction score
746
Habarini wakuu,

Naamini humu kuna watu wa aina tofauti tofauti kama NIMR, MoHSW, NGO's watu binafsi na Taasisi nyingi za kijamii. Nina proposal yangu inayohusu afya wapi naweza kuiwasilisha iweze kusaidia jamii na taifa kwa ujumla.

Asanteni
 
Hebu nipe muhtasari nione nitakujulisha wapi pa kuipeleka au namna ya kuboresha au kama ni nzuri kweli tutatafuta donors
 
yeeah naamini kila kitu kilishafanywa but ni just modification na means ya kufikia na kufikiwa walengwa

Mkuu weka tu humu,

jukwaa linasomwa na kila mtu wa nyumbani na wageni ...

ukiweka huku wanaohusika watalichukua kama linafaa kuchukuliwa.....

na pia linaweza kufanyiwa modification na inputs wana JF watakazoziweka....
 
asante sana kaka ngoja ntafanye hvo nikikamilisha kujiridhisha
 
Back
Top Bottom