Nina "overstay" kwenye passport yangu na ninataka kurudi nyumbani

Mkuu mbona unielewi mimi nataka kuludi nybani tz ila immigration their tight wanna give me underisable person and bann so i have to departure their country illegal so i want to know once am in my home country is overstay still counting?
Kama ukiweza kuondoka huko kwa njia zako bila mamlaka za huko kujua kua ume Exit basi utahesabika kua bado upo ndani ya nchi yao na Overstay itaendelea kuhesabika,utachukuliwa kama mtu anayeishi ndani ya nchi yao Illegal,

So,ukiomba Visa ili urudi tena huko ulipotoroka illegal,system itaonyesha kua wewe bado upo ndani ya nchi yao na haujatoka,hapo ndio kesi itakapoanzia ueleze uliexit vipi kutoka nchini mwao.
 
Sasa niki exit their country without deportation can i go back to their cause i did overstay prev visa
Hiki ndicho ulichotakiwa kukiuliza mwanzoni kwenye uzi wako. Kila nchi ina taratibu zake. Nchi nyingine uki overstay na ukitoka huwezi kurudi tena hadi ipite miaka 3. Sasa angalia sheria za Bahamas zinasemaje.
Lakini kwa nini unarudi? Yaani umetoka Bongo kwenda nje kutafuta unarudi kumfuata Wife??
 
Mkuu kama nakumbuka ulikuwa na huu msala wiki iliyopita ukiwa South Africa.....kama uliweza kuvuka boda kutoka South Africa ukafika Bahamas tumia njia hiyo hiyo utarudi bongo

Kama ukiweza kuondoka huko kwa njia zako bila mamlaka za huko kujua kua ume Exit basi utahesabika kua bado upo ndani ya nchi yao na Overstay itaendelea kuhesabika,utachukuliwa kama mtu anayeishi ndani ya nchi yao Illegal,

So,ukiomba Visa ili urudi tena huko ulipotoroka illegal,system itaonyesha kua wewe bado upo ndani ya nchi yao na haujatoka,hapo ndio kesi itakapoanzia ueleze uliexit vipi kutoka nchini mwao.
Jamaa anazingua alafu kichwa kizito.
 
Kama ukiweza kuondoka huko kwa njia zako bila mamlaka za huko kujua kua ume Exit basi utahesabika kua bado upo ndani ya nchi yao na Overstay itaendelea kuhesabika,utachukuliwa kama mtu anayeishi ndani ya nchi yao Illegal,

So,ukiomba Visa ili urudi tena huko ulipo,system itaonyesha kua wewe bado upo ndani ya nchi yao na haujatoka,hapo ndio kesi itakapoanzia ueleze uliexit vipi kutoka nchini mwao.
Kweli kaka sasa hapo ndo maana nataka nifahamu immigration act of Bahamas cause in South Africa if you're outside the country not recognize legal if you over stay SA
 
Alafu ukute mtoa mada yupo msumbiji anatuchosha tu akili,amigo panda hata fuso ukifika boda weka chochote kwenye passport utaona migration wakaigonga huku wanajichekesha kama vile wametekenywa
 
Ok! You are told various ways but you challenge them because it seems you know more than us.

So let's hear from you now, what have you planned to solve that issue so we can learn from you too?

I mean, it's your time now to tell us about your plans for that case, so we can be commenting on the strengths and weaknesses of your plans.

Goodbye friend!
So zimekuwa nyingi lakini!
 
Mkuu lost report you have to give them your names or birth date once their have those info will pull up all information of your arrival passport on their country so emergency travel document is not solution to solve this
Daah Bado Nina shauku ya kukusaidia Ila inaonekana kichwa chako kina Mambo mengi Mkuu.

Naomba nisikilize for the last time.

Kwakuwa umeover stay. Na unataka kurudi home. Jifanye kuwa umepoteza passport nenda Police watakupa Loss Report Document ambayo utaitumia kwenda Ubalozini kuombea Emergency Travel Document. Na hiyo passport yako halali utautuma Kwa njia ya FedEx utakuja kuipokelea Bongo.

Kuhusu taarifa zako ni kweli Huwezi kuzificha sababu ziko kwenye mfumo, kupitia Emergency Travel Document wao wataona kwenye system kuwa ulioverstay lakini sababu ambayo wataifahamu wao ni kuwa umepoteza passport na kutokana na kupoteza passport ulifanya jitihada za kuitafuta kitu kilichopelekea kuoverstay bila kupenda.
Sijui umenielewa Mkuu.

Vinginenvyo Asante Kwa Andiko Lako.
 
Hiki ndicho ulichotakiwa kukiuliza mwanzoni kwenye uzi wako. Kila nchi ina taratibu zake. Nchi nyingine uki overstay na ukitoka huwezi kurudi tena hadi ipite miaka 3. Sasa angalia sheria za Bahamas zinasemaje.
Lakini kwa nini unarudi? Yaani umetoka Bongo kwenda nje kutafuta unarudi kumfuata Wife??
Ndio kaka na ninataka ni apply spouse visa in bahamas embassy my wife she has dual citizenship USA and Bahamas so itakuwa shavu kubwa kwangu kupata green card in USA
 
their asking if i was reporting to police station or embassy for affidavit document from the time of lost
Utawajibu hapana cause ulikuwa na matumaini ya kuipata passport yako sehemu ulipoihifadhi. But haukufanikiwa that's why ukaenda kureport late.

Labda uniambie umeoverstay siku ngapi?
 
Daah Bado Nina shauku ya kukusaidia Ila inaonekana kichwa chako kina Mambo mengi Mkuu.

Naomba nisikilize for the last time.

Kwakuwa umeover stay. Na unataka kurudi home. Jifanye kuwa umepoteza passport nenda Police watakupa Loss Report Document ambayo utaitumia kwenda Ubalozini kuombea Emergency Travel Document. Na hiyo passport yako halali utautuma Kwa njia ya FedEx utakuja kuipokelea Bongo.

Kuhusu taarifa zako ni kweli Huwezi kuzificha sababu ziko kwenye mfumo, kupitia Emergency Travel Document wao wataona kwenye system kuwa ulioverstay lakini sababu ambayo wataifahamu wao ni kuwa umepoteza passport na kutokana na kupoteza passport ulifanya jitihada za kuitafuta kitu kilichopelekea kuoverstay bila kupenda.
Sijui umenielewa Mkuu.

Vinginenvyo Asante Kwa Andiko Lako.
Kaka umeongea point sasa ile passport nimeipoteza Bahamas na niki shipping Tz je naweza kuitumia tena ili ni apply Bahamas Visa hawata shakia kuwa ile pass ilisha potea je sitazua mtatizo mengine ya denial visa
 
Kitu kikipotea haimaanishi kuwa hakiwezi kupatikana Tena.

Unaweza kuwaambia Kuna ndugu yangu kule Bahamas aliibeba passport pasipokujua, so baada ya kuiona ikabidi akutumie kwa FedEx.
 
Daah Bado Nina shauku ya kukusaidia Ila inaonekana kichwa chako kina Mambo mengi Mkuu.

Naomba nisikilize for the last time.

Kwakuwa umeover stay. Na unataka kurudi home. Jifanye kuwa umepoteza passport nenda Police watakupa Loss Report Document ambayo utaitumia kwenda Ubalozini kuombea Emergency Travel Document. Na hiyo passport yako halali utautuma Kwa njia ya FedEx utakuja kuipokelea Bongo.

Kuhusu taarifa zako ni kweli Huwezi kuzificha sababu ziko kwenye mfumo, kupitia Emergency Travel Document wao wataona kwenye system kuwa ulioverstay lakini sababu ambayo wataifahamu wao ni kuwa umepoteza passport na kutokana na kupoteza passport ulifanya jitihada za kuitafuta kitu kilichopelekea kuoverstay bila kupenda.
Sijui umenielewa Mkuu.

Vinginenvyo Asante Kwa Andiko Lako.
Halafu akirudi tena huko kwenye nchi aliyo overstay arudi na Passport aliyowaambia kua imepotea? Mleta mada amesema atarudi tena huko,huoni kua hapo atakua amejishtaki mwenyewe?
 
Kitu kikipotea haimaanishi kuwa hakiwezi kupatikana Tena.

Unaweza kuwaambia Kuna ndugu yangu kule Bahamas aliibeba passport pasipokujua, so baada ya kuiona ikabidi akutumie kwa FedEx.
Ok kaka tuludi kwenye issue ya kupata affidavit visa ili expired 2018 je police officer atakubali kunipa report kuwa pass ilipotea 2018
 
Back
Top Bottom