Nina mwaka wa 5 kwenye ndoa mke wangu hajawahi nisikia nikijamba.

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,460
Mi nachukulia kama jambo la siri
Eeeh utafanyeje hivyo mtu akusikiee mazee.
Hembu tujieshimuni bana ukijisikia toka nje
Sii lijitu unalitoa tu mbele za watu tena wakati wa Kula ni ntaacha Kula nkikusikia
 
Kula sana mayai ya kuchemsha karanga maharage na kachumbali yenye vitunguu swaumu vingi apo utajamba to mbele ya mkei
 
Mi nachukulia kama jambo la siri
Eeeh utafanyeje hivyo mtu akusikiee mazee.
Hembu tujieshimuni bana ukijisikia toka nje
Sii lijitu unalitoa tu mbele za watu tena wakati wa Kula ni ntaacha Kula nkikusikia
Mjambie Leo.
 
Ebu Tuache Utani Jaman Hv Mlioko Kwenye Ndoa Huwa Mnafanyaje Pumzi Ikiwabana Maana Dah Cjui Me Itakuwaje Cku Nikioa Aibu Eti
 
Kama ni kweli basi ndoa hiyo mnaishi kwa mashaka.
kwenye ndoa ndo mahali pa kujiachia.Kama unajiachia
lakini hujambi basi unaumwa nenda hospitali.
 
Mimi huwa namtifulia ya masafa marefu, adi siku izi tukija na chips anajifungia ndani adi amalize kula ndio ananifungulia. Anadai siaminiki kwani wakati wowote namlipulia shuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…