Nina Mpenzi wangu Dah!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Wajameni wewe una mpenzi wako unampenda ila siku za hivi karibuni uilienda naye kwenye harusi sehemu, lakini wakati wakuingia kila mmoja aliingia kwa nafasi yake kutokana yeye kukuta Dada yake na wewe ukatafuta mahali pakukaa wakati umekaa na majamaa ukasikia mmoja anaonyeshe wenzake huna muona huyo mwanamke mwenye **** anatoa tiGo Blaa!!ukageuka kutizama kama wana maanisha mpenzi wako na jamaa hakuwa na wasiwasi kwani hkuijui!jamaa mwingine akamwuliza wewe umemtafuna jamaa akasema nijuzi kwenye sand off nilikuwanaye mapema acha nim do!!
Kama wewe unafanyeje kwa wakati huo na wakati ujao??:lol:
 
Beba chako mapema tena kama unaweza kimbia kabisa kwasababu ni kama vile umevuliwa nguo hadharani
 
Kama anatoa tiGO halafu mi hajawahi kunipa, nitaona maswala ya kizushi tu, ntaendelea naye hadi hapo atakaponionyesha kuwa yeye ni firauni mtoa tiGO ndipo ntakapo mwacha kabisaaaa.
 
Hakufai, na hauhitaji ushahidi zaidi hapo....achana na e broda!...she's a hypocrit, and a double personality impostor!
 
KakaKiiza, hapo kuna swali tena? kama anatoa tiGo, tena kwa kila mtu, huyo ni wa kuendelea naye? hata kama hatoi tiGo, mdada wa kugawa kwa kila mtu wewe wa nini? ungekuwa hujui sawa, sasa umeshajua.................. changanya na zako!
 
kazi ipo...lakini ni vizuri ukaprove wewe mwenyewe binafsi, sometimes watu wanakuwa na chuki binafsi na u-male chauvism unachangia.
 
kama we unaona wa TIGO anafaa si unaendelea, na ka hafai jibu unalo.
 
wanaume bwana na nyie mnakuwaga wambea sana, sasa haya mambo ya kuja kumuelezea mtu hadharani ni nini wakati mlipeana gizani, wanaume wengine wa kuvalishwa sketi kabisa.
 
Nimeipenda kwa sababu mtu unapata taarifa kutoka kwa fourth person na unatakiwa kuzifanyia kazi. Utajuaje wanakurusha roho ili ummwage?
pia suala la KUSIA mbegu kwenye mbolea imekuwa ni taboo ya vibint vya leo. shangaa sana ukimkuta ambaye hafanyi hiyo kitu. Muulize Gaijin
 
Nina wasiwasi hao jamaa walikuwa wakinong'ona kiasi cha wewe kusikia walikuwa wanapitisha ujumbe. Kwanza, kama kweli alipewa tigo hakupewa ili awaeleze watu wengine. Pili kama alipewa tigo na akala, tunajuwaje kama yeye ndiye muomba na mla tigo. Inawezekana kabisa jamaa aliwaona mlipokuwa makiingia ukumbini na akajua ninyi ni wapenzi lakini hampendi kuonekana mle ndani kama ni wapenzi. Mlipoamua kwenda kukaa viti tofauti ikawa nafasi ya jamaa kutia chumvi kitumbua chenu. Si ajabu siku moja ukamkuta jamaa akivinjari na mpenzi wako baada ya wewe kumtema. Ushauri: Jiridhishe na hayo yaliyosemwa kwa kuchunguza wewe mwenyewe kwa mbinu zako kabla ya kufanya uamuzi hasi. Wasanii wapo kibao
 
Kama mie ntatelezesha kama vile bahati mbaya halafu nione responce yake na baada ya hapo ntakuwa na jibu
 
wanaume bwana na nyie mnakuwaga wambea sana, sasa haya mambo ya kuja kumuelezea mtu hadharani ni nini wakati mlipeana gizani, wanaume wengine wa kuvalishwa sketi kabisa.

Nyamayao you said it well, mambo mpeane gizani ya nini kuyaleta kibarazani? nadhani haya ni matatizo ya kutupilia mbali jando na unyago
 
Ahh kama ni mie nitaipotezea tu hii story, maaaaaana watu duniani hufanana, huenda alompa tigo alikuwa anafanana saana na huyu, na hasa ukizingatia labda huyu ni pacha, na hajakueleza kuwa ana twin sister wake.
 
Nina wasiwasi hao jamaa walikuwa wakinong'ona kiasi cha wewe kusikia walikuwa wanapitisha ujumbe. Kwanza, kama kweli alipewa tigo hakupewa ili awaeleze watu wengine. Pili kama alipewa tigo na akala, tunajuwaje kama yeye ndiye muomba na mla tigo. Inawezekana kabisa jamaa aliwaona mlipokuwa makiingia ukumbini na akajua ninyi ni wapenzi lakini hampendi kuonekana mle ndani kama ni wapenzi. Mlipoamua kwenda kukaa viti tofauti ikawa nafasi ya jamaa kutia chumvi kitumbua chenu. Si ajabu siku moja ukamkuta jamaa akivinjari na mpenzi wako baada ya wewe kumtema. Ushauri: Jiridhishe na hayo yaliyosemwa kwa kuchunguza wewe mwenyewe kwa mbinu zako kabla ya kufanya uamuzi hasi. Wasanii wapo kibao

Ni kweli kabisa alivyosema sumuni chunguza kwanza kwani inawezekana kuna mtu anataka kukuharibia tu uhusiano wako na mpenzi wako. Ila usiipotezee mchunguze maana kuwa na demu anaegawa tigo nayo noma
 
wanaume bwana na nyie mnakuwaga wambea sana, sasa haya mambo ya kuja kumuelezea mtu hadharani ni nini wakati mlipeana gizani, wanaume wengine wa kuvalishwa sketi kabisa.

Mama yangu Nyamayao;
Mtu akivaa sketi anakuwaje au anakuwa vipi? Kichaa, punguani, au? Omba radhi, hasa kwa wavaa sketi, kabla jukwaa halijacharuka. Kwa hii kashfa mama yangu hapatakuwa na swala la gender tena. Usipoomba msamaha utashambuliwa na wote wavaao sketi na wavaao suruali. Harakisha mama yangu kabla sijarudi tena!
 
na wewe mtoa hoja, kwa nini uingie na dem wako mkakaa pande tofauti?
mnatoa ujumbe gani kwa hadhira au bado mnaogopa kuonwa na wapenzi wa zamani?
 
Back
Top Bottom