Anita Baby
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 1,264
- 542
Jitahidi kubadilisha mtazamo, kama kina yes sir wabongo wamekushinda sasa kina equal rights sidhani kama utawaweza. You need an overhaul ya mtazamo wako wa wanawake na nafasi yao kwenye mahusiano.
Pia tabia ni ya mtu binafsi so pamoja na general observation ya hapo juu, bado waweza pata chakaramu au a saint! Good luck!
Una uhakika na unachokiongea!?......Wazungu huwa hawaolewagi na mwafrika, wanaoa wao!!. Kwahiyo bora kusuka kuliko kunyoa!!.
hawa masikin sana unaowa mzigo badala ya kuleta neema ktk family pili mvuto less ata product unayotoa inakuwa ya ovyo wazungu wa usa na america yote ndo mambo super
Russia noma mkuu, kama siyo kwamba ana alikozimikia tayari namshauri atupie jicho wa-Scandinavia. Mvuto kwa kwenda mbele na hawana njaa kihivyo!
Una umri gani?hello ndugu zangu wana Jf.Mabinti wa kibongo wamenishinda hivyo nalazimika kuchukua uamuzi wa kubadilisha blood ya ukoo yaani nataka kuoa mzungu kwani kuna baadh yao wazuri na wanafahamu jinsi ya ku handle.Hawa wakibongo nashndwa kuwaelewa sijui umaskini au lah alafu wana mambo mengi sana.!nimetokea kupenda mzungu.
wazungu wapo bomba sana, kwenye maisha ya ndoa hawana tabu kama dada zetu!