Nina mpango wa kuoa divorced lady

Wakuu
nimetembea huko na huko hatimaye nimekutana na mwanamke nikampenda lakini akaniambia yupo divorced na mtoto mmoja,naomba wataalam mnishauri kama ni idea nzuri kumwoa mwanamke kama huyo!yanaweza kunikuta makubwa mbele ya safari??
kumbe wewe ni mwanaume? mbona jina la kike?
 
Wakuu
nimetembea huko na huko hatimaye nimekutana na mwanamke nikampenda lakini akaniambia yupo divorced na mtoto mmoja,naomba wataalam mnishauri kama ni idea nzuri kumwoa mwanamke kama huyo!yanaweza kunikuta makubwa mbele ya safari??

Mzalishe watoto watatu ndipo ufunge nae ndoa.usiwe na wivu mume wa kwanza akijikumbushia,mabinti wote hawa huwaoni?? Au domo zege sana,kwanini uchukue maraprap badala ya nyama?? Utajiju na ubwege wako,kwanini usituombe sisi wanaume wenzio tukupe mbinu za kutongoza mabinti na sio silipendwa ?? Mimi nina miaka 35,nimegegeda wanawake 360 katika maisha yangu na jumapili hii naoa binti wa miaka 20,hajazaa.kalagabao!
 

Kweli nyani haoni kundule...ungejua hawa ndio huwa wanajua nini maana ya ndoa...
 

Hivi ndoa ni shingo ikikatika unakufa?
 

Mambo ya kuoa yana nafsi sana. The bottomline, kwa nini uende ambako mwenzako amevuruga? Mitumba ni kwenye nguo na magari sio kwa ndoa!
 
Mkuu hebu acha kashfa.. Huna madada huna ndugu wa kike, huna watoto wa kike?

Mbona huwa mnawadhalilisha sana wadada waliozaa kabla ya ndoa??

USIMCHEKE MKUNGA UZAZI UNGALIPO... Mungu akusamehe!

Jamani Lady, si hayo ni maoni yangu! Ninao dada wamezaa kabla ya kuolewa, lakini ni KAYAMBA. Lady mambo yanabadilika, usiudhike sana, vijana sasa hivi hawaangalii hayo,ni sisi wa zamani tu! Pole kama nimewaudhi wapendwa . nafuta kauli
 
Hivi mbona mnakuaga too judgemental tena hata mtu humfahamu. Kwanini mdada ndio awe na jukumu la kuitunza ndoa na kujituliza. Eti wanazaa ovyoovyo na ukute wewe ni kati ya wanaume waliozini kabla ya ndoa au upo ndoani na huiheshimu ndoa yako lakini umeona mwanamke ndio mkosaji. Wanapozaa ovyoovyo huwa wanazaa na nani kama si wanaume. Hebu muwe mnaangalia situations kwa jicho la tatu na msiwaite wadada manungayembe. Kumbukeni relationship is two way sides ni jukumu la kuheshimu mahusiano kwa kila mmoja wetu.
 
Nimependa busara zako ubarikiwe.
 

Ndioooo.......
Ndio ndio mkuu. Kazi njema.
 
Dah tunatofautiana sana! Kunywa soda ilofunguliwa big Noo! Tatizo kubwa la hii kitu ni kuwa huyo mwanamke atakuwa na reference (more or less km mjane). So mkikosana tu one day atasema 'bora ya baba x' sa maisha gani hayo? Soda tamu ukifungua mwenyewe
 

Dah pole inaonekana kakukwaza huyo, dont take Jf too serious mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…