Nina mpango wa kumfungulia kesi aliyekuwa kaka mkuu shule ya msingi kipindi nasoma shule

Tatizo mmesoma shule za kike.Sisi tuliosomea shule za kiboizia,mambo hayo yalikuwa ya kawaida tu kwa walegevu kama wewe.Lakini kwa watabe kama mimi,tena from Mbokamanyema! Unaanzaje japo kuniita tu kibabe?.

Ila kwa msaada we fanya tu kama wahenga walivyo sema "DAWA YA MOTO NI MOTO" .Tafuta choo cha maana kisha kajipigishe tena SIMU na kumbukumbu zote zitaisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unaamini nguvu za Giza? Namaanisha ushirikina.
Corona ipo tuchukue tahadhari!

Nimekaa nimefikiria nimeona huu ni muda muafaka wa kumfungulia mashtaka ya unyanyasaji aliyekuwa kaka mkuu shule ya msingi kipindi nasoma ,back 14yrs nipo darasa la 5 Kuna kiongozi aliyekuwa ni kiranja wa shule alikuwa akininyanyasa Sana mbali na vipigo lakini alikuwaakiniambia niende nikapige simu chooni (kwa wale ambao hawajui kupiga simu chooni ni Nini yaani unapigwa viboko kwanza then unapelekwa chooni ukainamie tundu la choo huku mashavu yakigusa Yale mabanzi ya pale kweye tundu huku uso wote ukiwa umefiti kwenye lile tundu ukiangalia kinyesi ndani Kisha unaanza kusema baba Mimi nateseka huku njoo uniokoe na maneno mengine mengi atakayokuongoza useme) Sasa kupitia unyanyasaji huu Nina mpango wa kwenda kufungua kesi

Sasa nilikuwa naomba msaada kwa wanasheria nianzie wapi na je itawezekana na Sina ushahidi wa picha au video Ila karibia wenzangu wote tuliosoma nao kipindi kile wanajua kuwa hio Hali ilikuwa inafanyika pale shule

Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ya kibabe zamani yalikuwepo sana shuleni, waliosoma sekondari za bweni wakati huo wanaelewa form one alikuwa ananyanyaswa sana, na ilikuwa kawaida kuambiwa ukanunue bidhaa kwa hela zako na urudishe na chenji, kuchapwa,kupewa kazi za hovyo hovyo ilimradi tu ukose raha Ilikuwa ni sehemu ya maisha ya shule.

Ilikuwa mkimaliza kidato cha kwanza mnafurahi, na ninyi mnawasubiria kidato cha kwanza kuwapa kibano cha kutosha, ili kulipiza kisasi.Wakati fulani waliripoti wanafunzi wakiwa na masanduku ya mbao basi shule nzima kilio cha hatari (cha kuigiza) kilizuka kisa wanadai wamebeba majeneza na ndani kuna maiti.Siku hizi naona kuna ustaraabu sana nyoya (form one) anaweza kumvimbia hata kidato cha sita na ngoma ikawa droo.Zamani lazima uchakae.
Hata leo shule kama Bwiru technical,Msoma technical n.k unachomokaje kwa mfano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mwenyewe nina mwalimu wangu huyo wakati niko form 3 alininyanyasa sana kwa sababu form 1 na form 2 sikuwa mkondo A ivo kufika form 3 tukapangwa kwa ufaulu na nikaingia Form 3 A yule mwalimu wakati tupo form one Na two tulikuwa Mkondo C ivo alikuwa ana tu ignore kwamba huko C hakuna kitu na watoto wake ni wa A wakati hatukupangwa based on perfomance sasa ile kukutana nae mkondo A form 3 tulikuwa kama watu tisa ivi wa kutoka C alitunyanyasa wale top ambao tulikuwa kama hatupo nae pamoja wakati anakuja mkondo C, alifanya hio humiliation publicly kabisa na iliniathiri sana niliampa nitamtafuta tu hata ipite miaka mingapi labda nimkute ni marehemu, Pain niliyo feel lazima nae aexperince miaka mingi imepita ila plan yangu iko pale pale its matter of time na lazima nifanye execution, Nimesamehe mengi ila hilo nimeshindwa kabisa
Nikiwa darasa la 5, mwalimu flani aliniita lakini sikuelewa kama ananiita mimi ghafla akanitania kwa jina baya..weewee...njoo hapa shenzii.
Baada ya kusikia hivyo nilikasirika na kugoma kwenda mbele...ghafla akaja na fimbo ili anichape.
Mimi bila kusita nilivua jembe nikabaki na mpini nikakimbia kumlaki nikiwa na mpini tayari kumpiga...alikimbilia ofisini, paredi nzima ilicheka balaaa.
Ulikuwa ni muda wa kwenda kupalilia bustani ya shule ule muda wa kazi za mikono..jioni.
Tuliheshimiana kuanzia siku hiyo japo alienda kuwaeleza wazazi wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona ipo tuchukue tahadhari!

Nimekaa nimefikiria nimeona huu ni muda muafaka wa kumfungulia mashtaka ya unyanyasaji aliyekuwa kaka mkuu shule ya msingi kipindi nasoma ,back 14yrs nipo darasa la 5 Kuna kiongozi aliyekuwa ni kiranja wa shule alikuwa akininyanyasa Sana mbali na vipigo lakini alikuwaakiniambia niende nikapige simu chooni (kwa wale ambao hawajui kupiga simu chooni ni Nini yaani unapigwa viboko kwanza then unapelekwa chooni ukainamie tundu la choo huku mashavu yakigusa Yale mabanzi ya pale kweye tundu huku uso wote ukiwa umefiti kwenye lile tundu ukiangalia kinyesi ndani Kisha unaanza kusema baba Mimi nateseka huku njoo uniokoe na maneno mengine mengi atakayokuongoza useme) Sasa kupitia unyanyasaji huu Nina mpango wa kwenda kufungua kesi

Sasa nilikuwa naomba msaada kwa wanasheria nianzie wapi na je itawezekana na Sina ushahidi wa picha au video Ila karibia wenzangu wote tuliosoma nao kipindi kile wanajua kuwa hio Hali ilikuwa inafanyika pale shule

Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah unataka akulipe mabilioni mkuu
 
Mimi mwenyewe nina mwalimu wangu huyo wakati niko form 3 alininyanyasa sana kwa sababu form 1 na form 2 sikuwa mkondo A ivo kufika form 3 tukapangwa kwa ufaulu na nikaingia Form 3 A yule mwalimu wakati tupo form one Na two tulikuwa Mkondo C ivo alikuwa ana tu ignore kwamba huko C hakuna kitu na watoto wake ni wa A wakati hatukupangwa based on perfomance sasa ile kukutana nae mkondo A form 3 tulikuwa kama watu tisa ivi wa kutoka C alitunyanyasa wale top ambao tulikuwa kama hatupo nae pamoja wakati anakuja mkondo C, alifanya hio humiliation publicly kabisa na iliniathiri sana niliampa nitamtafuta tu hata ipite miaka mingapi labda nimkute ni marehemu, Pain niliyo feel lazima nae aexperince miaka mingi imepita ila plan yangu iko pale pale its matter of time na lazima nifanye execution, Nimesamehe mengi ila hilo nimeshindwa kabisa
Maana ya execution ni nini? Umeandikwa yote kwa Kiswahili isipokuwa hilo.
Mwl ana vinasaba vya Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka hauna kazi ya kufanya upo tu nyumbani unasubiria kuitwa kula,hauna majukumu.

Tafuta hela achana na mambo yanayokupotezea muda.fanya kilichokuleta duniani ,time is limited.

Ni ujinga wa hali ya juu sana unaingia gharama za kumlipa mwanasheria na kuwasumbua watu na mwisho wa kesi ukashindwa sijui utapata nini?.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Corona ipo tuchukue tahadhari!

Nimekaa nimefikiria nimeona huu ni muda muafaka wa kumfungulia mashtaka ya unyanyasaji aliyekuwa kaka mkuu shule ya msingi kipindi nasoma ,back 14yrs nipo darasa la 5 Kuna kiongozi aliyekuwa ni kiranja wa shule alikuwa akininyanyasa Sana mbali na vipigo lakini alikuwaakiniambia niende nikapige simu chooni (kwa wale ambao hawajui kupiga simu chooni ni Nini yaani unapigwa viboko kwanza then unapelekwa chooni ukainamie tundu la choo huku mashavu yakigusa Yale mabanzi ya pale kweye tundu huku uso wote ukiwa umefiti kwenye lile tundu ukiangalia kinyesi ndani Kisha unaanza kusema baba Mimi nateseka huku njoo uniokoe na maneno mengine mengi atakayokuongoza useme) Sasa kupitia unyanyasaji huu Nina mpango wa kwenda kufungua kesi

Sasa nilikuwa naomba msaada kwa wanasheria nianzie wapi na je itawezekana na Sina ushahidi wa picha au video Ila karibia wenzangu wote tuliosoma nao kipindi kile wanajua kuwa hio Hali ilikuwa inafanyika pale shule

Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua anakoishi? Anafanya kazi gani kwa sasa?

Ulikuwa mchezo wa watoto tu, achana na hilo chapa kazi.
 
Uliwafanyaje? Nimecheka sana.
Weee acha tu visa ni vingi sana ila kikubwa walikuwa ni wazee wa ndumba kutoa kafara kwa ajili ya vyeo vyao sasa nadhan walikuwa wanataka kafala maana ni kila mwaka lazima itolewe kafara sasa wakaja kunitest kama nachukulika nikawaona basi hapo ndipo nilipokuwa na kiburi kuliko alaf walikuwa wanaogopeka mbaya ila mimi wala tena nawajibisha wananyamaza kimya kibao kikageuka wakawa wananiogopa mimi ila wengine hawasubutu maana njemba zilikuwa zinapiga kama mwizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona ipo tuchukue tahadhari!

Nimekaa nimefikiria nimeona huu ni muda muafaka wa kumfungulia mashtaka ya unyanyasaji aliyekuwa kaka mkuu shule ya msingi kipindi nasoma ,back 14yrs nipo darasa la 5 Kuna kiongozi aliyekuwa ni kiranja wa shule alikuwa akininyanyasa Sana mbali na vipigo lakini alikuwaakiniambia niende nikapige simu chooni (kwa wale ambao hawajui kupiga simu chooni ni Nini yaani unapigwa viboko kwanza then unapelekwa chooni ukainamie tundu la choo huku mashavu yakigusa Yale mabanzi ya pale kweye tundu huku uso wote ukiwa umefiti kwenye lile tundu ukiangalia kinyesi ndani Kisha unaanza kusema baba Mimi nateseka huku njoo uniokoe na maneno mengine mengi atakayokuongoza useme) Sasa kupitia unyanyasaji huu Nina mpango wa kwenda kufungua kesi

Sasa nilikuwa naomba msaada kwa wanasheria nianzie wapi na je itawezekana na Sina ushahidi wa picha au video Ila karibia wenzangu wote tuliosoma nao kipindi kile wanajua kuwa hio Hali ilikuwa inafanyika pale shule

Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mjinga Fulani asouekuwa na kazi.
Umesema huna ushahidi Bali uliosoma nao wanajua mambo hayo walikuwa yanatendeka he uko tayari kuwashawishi wakubali kuwa mashahidi wako au hizo ni ndoto za mbwa tu.
 
We we nawe mzembe ulishindwa nini kujitutumua?
Mwanaume anapozaliwa tu jina lake la kwanza ni mwanaume ..!
Mwanaume ameletwa duniani kupambana..
Mimi mzee wangu mkurya mwanajeshi alikuwaga anasema mtu akikuchokoza huko shule mmalize ntakuja kumalizia kesi Mimi ..

Nilikuwa natembeaga ma mkasi kuna mbabe mmoja alikuwa ananionea sana siku niliposema inatosha ..!
Mbona akawa na rafiki yangu kabisa?
 
Back
Top Bottom