Nina mpango wa kumfungulia kesi aliyekuwa kaka mkuu shule ya msingi kipindi nasoma shule

Aiseee mimi wakat nasoma mwalimu wa nidham pamoja na coordinator plus mwalimu mkuu msaidizi pale shule flani hivi wakati niko form 6 hawatokuja nisahau maisha yao yote maana niliwahenyesha mpaka waakamua kuniomba radhi wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mwenyewe nina mwalimu wangu huyo wakati niko form 3 alininyanyasa sana kwa sababu form 1 na form 2 sikuwa mkondo A ivo kufika form 3 tukapangwa kwa ufaulu na nikaingia Form 3 A yule mwalimu wakati tupo form one Na two tulikuwa Mkondo C ivo alikuwa ana tu ignore kwamba huko C hakuna kitu na watoto wake ni wa A wakati hatukupangwa based on perfomance sasa ile kukutana nae mkondo A form 3 tulikuwa kama watu tisa ivi wa kutoka C alitunyanyasa wale top ambao tulikuwa kama hatupo nae pamoja wakati anakuja mkondo C, alifanya hio humiliation publicly kabisa na iliniathiri sana niliampa nitamtafuta tu hata ipite miaka mingapi labda nimkute ni marehemu, Pain niliyo feel lazima nae aexperince miaka mingi imepita ila plan yangu iko pale pale its matter of time na lazima nifanye execution, Nimesamehe mengi ila hilo nimeshindwa kabisa

Pole sana mkuu naona umeubeba mzigo mzito sana maishani mwako.

Naomba umsamehe kabisa na umtoe moyoni mwako huyo mwalimu, utapata amani sana na utafurahia maisha.

Biblia inasema hivi katika Mhubiri 7:9 "Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, maana hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu."
 
Mimi mwenyewe nina mwalimu wangu huyo wakati niko form 3 alininyanyasa sana kwa sababu form 1 na form 2 sikuwa mkondo A ivo kufika form 3 tukapangwa kwa ufaulu na nikaingia Form 3 A yule mwalimu wakati tupo form one Na two tulikuwa Mkondo C ivo alikuwa ana tu ignore kwamba huko C hakuna kitu na watoto wake ni wa A wakati hatukupangwa based on perfomance sasa ile kukutana nae mkondo A form 3 tulikuwa kama watu tisa ivi wa kutoka C alitunyanyasa wale top ambao tulikuwa kama hatupo nae pamoja wakati anakuja mkondo C, alifanya hio humiliation publicly kabisa na iliniathiri sana niliampa nitamtafuta tu hata ipite miaka mingapi labda nimkute ni marehemu, Pain niliyo feel lazima nae aexperince miaka mingi imepita ila plan yangu iko pale pale its matter of time na lazima nifanye execution, Nimesamehe mengi ila hilo nimeshindwa kabisa

1590040933563.png
 
Corona ipo tuchukue tahadhari!

Nimekaa nimefikiria nimeona huu ni muda muafaka wa kumfungulia mashtaka ya unyanyasaji aliyekuwa kaka mkuu shule ya msingi kipindi nasoma ,back 14yrs nipo darasa la 5 Kuna kiongozi aliyekuwa ni kiranja wa shule alikuwa akininyanyasa Sana mbali na vipigo lakini alikuwaakiniambia niende nikapige simu chooni (kwa wale ambao hawajui kupiga simu chooni ni Nini yaani unapigwa viboko kwanza then unapelekwa chooni ukainamie tundu la choo huku mashavu yakigusa Yale mabanzi ya pale kweye tundu huku uso wote ukiwa umefiti kwenye lile tundu ukiangalia kinyesi ndani Kisha unaanza kusema baba Mimi nateseka huku njoo uniokoe na maneno mengine mengi atakayokuongoza useme) Sasa kupitia unyanyasaji huu Nina mpango wa kwenda kufungua kesi

Sasa nilikuwa naomba msaada kwa wanasheria nianzie wapi na je itawezekana na Sina ushahidi wa picha au video Ila karibia wenzangu wote tuliosoma nao kipindi kile wanajua kuwa hio Hali ilikuwa inafanyika pale shule

Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
una hela? vp pale chooni kulikuwa na CCTV camera
 
Aisee pole sanaaa, mimi mwenzako nilikua nakataa kufanyishwa adhabu za kishenzi

1) Nkiwa darasa la nne walimu walikuja kutuchapa mande kisa hatujalipa mchango, ilipofika zamu yangu nlikataa nkasema sio kosa langu, mama yangu hana pesa, wakataka kunibananisha nkachomoka mlangoni.

2) Nkiwa darasa la tano nlishawahi kukataa kuchapwa na waya wa umeme( darasa zima walichapwa) nakumbuka darasa zima walipewa amri wanivute kunitoa kwenye dawati cha moto walikiona

3) Darasa la saba, nlichelewa kipindi asubuh, tuliochelewa wote tukaambiwa tuchapane fimbo nlikataa, nkasema siwezi kichapwa fimbo na mwanafunzi mwenzangu.
Namatukio mengi tu mpaka namaliza form four
Nlikuwa mkorofi sana, hao viranja siwacheleweshi kuwazibua....naokota taka kwa hiari yangu, nafagia kwa hiari yangu....

Asante sana mama, uliniokoa kwenye masoo yangu yote mpaka sasa nna familia yangu safiii.

Ila noma mazee mtoto wangu wa kwanza dalili zote naziona kama mimi vile, dah sijui nifanyeje??

Respect!!!!
Hujapata mwalimu wa kukukanyaga wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah jamiforums Ina mengi Sana
Corona ipo tuchukue tahadhari!

Nimekaa nimefikiria nimeona huu ni muda muafaka wa kumfungulia mashtaka ya unyanyasaji aliyekuwa kaka mkuu shule ya msingi kipindi nasoma ,back 14yrs nipo darasa la 5 Kuna kiongozi aliyekuwa ni kiranja wa shule alikuwa akininyanyasa Sana mbali na vipigo lakini alikuwaakiniambia niende nikapige simu chooni (kwa wale ambao hawajui kupiga simu chooni ni Nini yaani unapigwa viboko kwanza then unapelekwa chooni ukainamie tundu la choo huku mashavu yakigusa Yale mabanzi ya pale kweye tundu huku uso wote ukiwa umefiti kwenye lile tundu ukiangalia kinyesi ndani Kisha unaanza kusema baba Mimi nateseka huku njoo uniokoe na maneno mengine mengi atakayokuongoza useme) Sasa kupitia unyanyasaji huu Nina mpango wa kwenda kufungua kesi

Sasa nilikuwa naomba msaada kwa wanasheria nianzie wapi na je itawezekana na Sina ushahidi wa picha au video Ila karibia wenzangu wote tuliosoma nao kipindi kile wanajua kuwa hio Hali ilikuwa inafanyika pale shule

Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kulalamika kijinga dogo, huna ushahidi wowote wa kumtia hatiani ila unachotakiwa kufanya mtafute sasa hivi na mkionana usimuwekee sura ya kirafiki kabisa, mfuate kwa ukaribu halafu ongea nae kwa sauti mtakayoiskia wewe na yeye tu mwambie "unakumbuka kipindi kile shuleni ulipokuwa unanipigisha simu chooni, sasa ni wakati kuyalipa yote yale uliyonifanyia" halafu ondoka muache.

Usiku wa saa 5 au 6 hivi muibukie mpaka anapoishi, kama unajua amekuzidi ubavu basi kodi na wana hata watatu hivi, unatakiwa umfanyie mara 4 zaidi ya kile alichokufanyia.......ukitoka pale mwambie "kuanzia sasa wewe ni rafiki yangu na tusahau yote yaliyopita"

njoo nikuazime bunduki ukamelize kazi simple like that ,ila nawe fala hata kumwambia baba yako ulishindwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kulalamika kijinga dogo, huna ushahidi wowote wa kumtia hatiani ila unachotakiwa kufanya mtafute sasa hivi na mkionana usimuwekee sura ya kirafiki kabisa, mfuate kwa ukaribu halafu ongea nae kwa sauti mtakayoiskia wewe na yeye tu mwambie "unakumbuka kipindi kile shuleni ulipokuwa unanipigisha simu chooni, sasa ni wakati kuyalipa yote yale uliyonifanyia" halafu ondoka muache.

Usiku wa saa 5 au 6 hivi muibukie mpaka anapoishi, kama unajua amekuzidi ubavu basi kodi na wana hata watatu hivi, unatakiwa umfanyie mara 4 zaidi ya kile alichokufanyia.......ukitoka pale mwambie "kuanzia sasa wewe ni rafiki yangu na tusahau yote yaliyopita"

Sent using Jamii Forums mobile app

Usilipize Kisasi! Unasikia? Hata ikiwa umefanyiwa ubaya wa namna gani, Biblia inafundisha na inakusihi usilipize kisasi kwa huyo aliyekufanyia ubaya. Biblia inasema hivi:

“Wapenzi, msijilipizie kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, kisasi ni juu yangu Mimi, Mimi nitalipa, anena Bwana” (Warumi 12:19)

Kuna hasara zinazoweza kukupata ukiamua kulipa kisasi kwa mambo uliyofanyiwa ambayo hayakupendezi. Ikiwa ni masuala ya kikabila, usilipe kisasi. Ikiwa ni masuala ya kidini, usilipe kisasi. Ikiwa ni masuala ya kifamilia, usilipe kisasi. Ikiwa ni masuala ya kikaz au masomi, usilipe kisasi. Ikiwa ni masuala ya uhusiano wako na majirani zako, usilipe kisasi.Ndiyo! Usilipe kisasi! Kwa nini? Kwa sababu “imeandikwa kisasi ni juu yangu Mimi; Mimi nitalipa, anena Bwana”.

sontable ujumbe huu👆👆 unakuhusu sana.
 
Mimi mwenyewe nina mwalimu wangu huyo wakati niko form 3 alininyanyasa sana kwa sababu form 1 na form 2 sikuwa mkondo A ivo kufika form 3 tukapangwa kwa ufaulu na nikaingia Form 3 A yule mwalimu wakati tupo form one Na two tulikuwa Mkondo C ivo alikuwa ana tu ignore kwamba huko C hakuna kitu na watoto wake ni wa A wakati hatukupangwa based on perfomance sasa ile kukutana nae mkondo A form 3 tulikuwa kama watu tisa ivi wa kutoka C alitunyanyasa wale top ambao tulikuwa kama hatupo nae pamoja wakati anakuja mkondo C, alifanya hio humiliation publicly kabisa na iliniathiri sana niliampa nitamtafuta tu hata ipite miaka mingapi labda nimkute ni marehemu, Pain niliyo feel lazima nae aexperince miaka mingi imepita ila plan yangu iko pale pale its matter of time na lazima nifanye execution, Nimesamehe mengi ila hilo nimeshindwa kabisa
Daaah! Pole sana aisee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikua miaka ya 2000 meta sec ukifika kuanza form one kwa wanafunzi wa hostel nakumbuka mkifika mwezi wa pili hivi inapangwa Siku maalum mnakatwa mikia siku hiyo nyakati za usiku zinazimwa taa zote za mabweni kisha form unasakwa unachezea mikanda fimbo mpaka karibia
 
Utakosea sana ukifanya hivyo? Kumbuka haya yalitokea nyote mkiwa wadogo kutokana na sheria zetu (under 18) bila shaka, pia ulikosea kipindi hicho ulikuwa unapewa hizo adhabu, inaonekana ulikuwa boya kweli na sidhani km ulifaulu maana haiwezekani mwanafunz mwenye akili akavumilia hizo adhabu bila kuripoti ngazi za juu km kwa kaka zake, walimu, wazazi n.k.
Kwa sasa naona hasira zako ungezielekeza kupambana na maisha tu vingnevyo ndo unayachezea ivo, Segerea panakuita acha utoto mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ya kibabe zamani yalikuwepo sana shuleni, waliosoma sekondari za bweni wakati huo wanaelewa form one alikuwa ananyanyaswa sana, na ilikuwa kawaida kuambiwa ukanunue bidhaa kwa hela zako na urudishe na chenji, kuchapwa,kupewa kazi za hovyo hovyo ilimradi tu ukose raha Ilikuwa ni sehemu ya maisha ya shule.

Ilikuwa mkimaliza kidato cha kwanza mnafurahi, na ninyi mnawasubiria kidato cha kwanza kuwapa kibano cha kutosha, ili kulipiza kisasi.Wakati fulani waliripoti wanafunzi wakiwa na masanduku ya mbao basi shule nzima kilio cha hatari (cha kuigiza) kilizuka kisa wanadai wamebeba majeneza na ndani kuna maiti.Siku hizi naona kuna ustaraabu sana nyoya (form one) anaweza kumvimbia hata kidato cha sita na ngoma ikawa droo.Zamani lazima uchakae.
 
Usilipize Kisasi! Unasikia? Hata ikiwa umefanyiwa ubaya wa namna gani, Biblia inafundisha na inakusihi usilipize kisasi kwa huyo aliyekufanyia ubaya. Biblia inasema hivi:

“Wapenzi, msijilipizie kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, kisasi ni juu yangu Mimi, Mimi nitalipa, anena Bwana” (Warumi 12:19)

Kuna hasara zinazoweza kukupata ukiamua kulipa kisasi kwa mambo uliyofanyiwa ambayo hayakupendezi. Ikiwa ni masuala ya kikabila, usilipe kisasi. Ikiwa ni masuala ya kidini, usilipe kisasi. Ikiwa ni masuala ya kifamilia, usilipe kisasi. Ikiwa ni masuala ya kikaz au masomi, usilipe kisasi. Ikiwa ni masuala ya uhusiano wako na majirani zako, usilipe kisasi.Ndiyo! Usilipe kisasi! Kwa nini? Kwa sababu “imeandikwa kisasi ni juu yangu Mimi; Mimi nitalipa, anena Bwana”.

sontable ujumbe huu unakuhusu sana.
Kwenye mambo kama haya ndo hua nakusanya hizo kurasa zote zaushauri nazikunja naweka kwenye mfuko wa nyuma (mfuko wamatak.o.n.i).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom