Nina Mke asiyejua kubembeleza, je nitafute mchepuko?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
1,147
2,746
Habari wakuu?

Iko hivi,jana around saa 3 usiku EAT nimetua nchini kutokea huko duniani ambako nimekua nikiishi for sometimes.

Kabla sijaja bongo, nilikua na misunderstanding ndogo na wife kuhusu uaminifu, alikua ananituhumu kuwa huko nilipokua nilikua sio muaminifu.

Two weeks before I landed at Julius Kambarage Nyerere International Airport I informed my sweet darling kuwa I will be coming back siku flani, but unfortunately hakuwepo Airport wala simu yoyote kuanzia mwanzo wa safari yangu.

Nimetua jana usiku bongo, Well hakuja kunipokea wala nini,me nikaona sio issue coz tunakaa nje ya mji huko huenda aliona kero ya jam.

Kufika home hakuna chakula mezani wala maji bafuni instead alitumwa mtoto tu kuja kuniambia kuwa baba chakula tayari,so nikalala na njaa.

Asubuhi ya leo nimeamka very morning nilikua na appointment flani ,sijanyooshewa nguo wala kuandaliwa breakfast, nikaondoka hivyo hivyo toka msosi niliokula Heathrow International Airport jana.
So wakuu niko hapa mikocheni mitaa flani nakula na kunywa, nawaza should.

I look for a side chick or something else?
 
Kwanza kabisa wewe ni MPUMBAVU, Hivi Unaachaje wanawake wazuri,warembo na wenye maku tamu London unakuja kutafutana na mijianamke Michaga na minyakyusa?,Mkuu uko timamu kweli?

Hilo janamke litakuwa limezoea machokoraa menzie wewe achana nalo tahira hilo,ishi na mwanamke mwenye hadhi yako,kama ni watoto chukua sepa nao achana na MA-LIAR hilo litakupa UKIMWI,likiwakatalia watoto ondoka zako nenda kazae wengine.

Yaani dunia ya leo MAKU zilivyo nyingi bado unalilia mwanamke?,wewe sidhani kama utakuwa na akili zinazokutosha(Samahani kwa lugha kali) lakini huo ndiyo ukweli.

Dunia ya leo bado una muda wa kubembeleza janamke?

Aiseeeeee wanaume wenzetu mnakwama wapi?,yaaani wanawake walivyo wengi na wanaolilia ndoa wewe bado unali-lalalamikia janamke Shenzi?

Kama hujui kutongoza niambie nikutafutie mwanamke mzuri na mwenye tabia nzuri ambaye atakufaa na utalisahau hilo TAHIRA lako.

Hivi mwanamke wangu Rehema Pumbu nalo mkung'uta ataanzaje kuwa na dharau nami?.

Pengine hilo janamke ulikuwa hulipigi pumbu la kutosheleza ndiyo maana dharau nyingi,kakutana na wafuga dredi wasimamia kucha wanamparasa ki-kwelikweli ndiyo maana analeta dharau.

USHAURI

1.ACHANA NAE,TAFUTA MWANAMKE MWINGINE.

2.UKIAMUA KUMBEMBELEZA AKAKAA KWENYE MSTARI BASI MKUNG'UTE PUMBU LA MAANA HADI AKIMBIE NA CHUPI KWAO AKAWASIMULIE BABA YAKE NA MAMA YAKE.
 
Habari wakuu?
Iko hivi,jana around saa 3 EAT nimetua nchini kutokea huko duniani ambako nimekua nikiishi for sometimes.
Kabla sijaja bongo, nilikua na misunderstanding ndogo na wife kuhusu uaminifu,alikua ananituhumu kuwa huko nilipokua nilikua sio muaminifu.
Two weeks before I landed at Julius Kambarage Nyerere International Airport I informed my sweet darling kuwa I will be coming back siku flani,but unfortunately hakuwepo Airport wala simu yoyote kuanzia mwanzo wa safari yangu.
Nimetua jana usiku bongo, Well hakuja kunipokea wala nini,me nikaona sio issue coz tunakaa nje ya mji huko huenda aliona kero ya jam.
Kufika home hakuna chakula mezani wala maji bafuni instead alitumwa mtoto tu kuja kuniambia kuwa baba chakula tayari,so nikalala na njaa.
Asubuhi ya leo nimeamka very morning nilikua na appointment flani ,sijanyooshewa nguo wala kuandaliwa breakfast,nikaondoka hivyo hivyo toka msosi niliokula Heathrow International Airport jana.
So wakuu niko hapa mikocheni mitaa flani nakula na kunywa,nawaza should
I look for a side chick or something else?
Mkuu unataka ushauri gani sasa. Ulipokuwa ulaya inawezekana alikuwa analiwa na washikaji au uliacha umezaa nje?
 
Ni dhahiri kwamba mkeo kashakuchoka hakuhitaji tena.

Anza kuandaa talaka ma'ke Hapo huna mke kbsa.
 
Habari wakuu?
Iko hivi,jana around saa 3 EAT nimetua nchini kutokea huko duniani ambako nimekua nikiishi for sometimes.
Kabla sijaja bongo, nilikua na misunderstanding ndogo na wife kuhusu uaminifu,alikua ananituhumu kuwa huko nilipokua nilikua sio muaminifu.
Two weeks before I landed at Julius Kambarage Nyerere International Airport I informed my sweet darling kuwa I will be coming back siku flani,but unfortunately hakuwepo Airport wala simu yoyote kuanzia mwanzo wa safari yangu.
Nimetua jana usiku bongo, Well hakuja kunipokea wala nini,me nikaona sio issue coz tunakaa nje ya mji huko huenda aliona kero ya jam.
Kufika home hakuna chakula mezani wala maji bafuni instead alitumwa mtoto tu kuja kuniambia kuwa baba chakula tayari,so nikalala na njaa.
Asubuhi ya leo nimeamka very morning nilikua na appointment flani ,sijanyooshewa nguo wala kuandaliwa breakfast,nikaondoka hivyo hivyo toka msosi niliokula Heathrow International Airport jana.
So wakuu niko hapa mikocheni mitaa flani nakula na kunywa,nawaza should
I look for a side chick or something else?
Hayo ni mambo madogo tu yani wewe huwezi nyoosha nguo zako?
Kuhusu breakfast ulimpa pesa ya maandalizi ili akuandale?
Mkuu mpende mkeo,endeleeni na maisha hata wewe unaweza fanya
 
Kaa na mkeo ongea nae whats troubling her? Ukijua kama sio kweli mueleweshe and make her believe and trust me she will otherwise unajidanganya tu hawa vimada huwa tunawatafuta wakati mambo yakiwa mazuri sio wakati ndoa ina mawimbi mzee utapoa kabisa na utapoteza ndoa.

Wakati wa mawimbi ya ndoa ni wakati mzuri ambao unapaswa kukaa na kutafakari namna ya kumaliza tofauti zenu. Usishirikishe watu tumia wakati huu wa weekend mwambie mtoke nenda nae dinner somewher quiet and reserve table for two ongea nae mjadili matatizo yenu.

BTW ulimletea hata zawadi ulipotoka safari? If not jitahidi utagute the best women cologne ya mwaka huu mnunulie then ujifanye ulikuja nayo .

Tell her how much you love her and show it na umwambie namna ambavyo unakosa raha mkiwa mnakosana na inakufanya unakosa amani hata nguvu za kuamka na kutafuta pesa kwa ajili ya familia.

Usilewe sana halafu usiongeeongee ishu zako. Call her now and go home kampikie hata kahawa mkae umwambie kesho mna mtoko. Unless umeoa uswazi.

mengineyo jiongeze mwenyewe maana kila mtu anamjua mtuwe.
 
Back
Top Bottom