"Nina mimba yako" ulivyoambiwa ulijisikiaje?

"Nina mimba yako" ulivyoambiwa ulijisikiaje?

sijawahi kuambiwa kitu kama hicho
 
hahaha ngono zembe noma sana. Hakuna issue serious and so complicated in my life kama ya mtoto.

Was caught up in one of my stupid moments and adventures once, and i suffered big time. Had to meditate on the issue for a whole month, and finally when i came to peace with it, nikaambiwa eti 'nilikuwa nakutania'.

Nilifarijika sana cos nilipewa another chance ya kuwa na life i dream of, ila nilishikwa na hasira kinoma since nilishajindaa kuwa mshua sometimes this year.
Safe sex is the name of the game wazee, no joke.

hahahaaaa mkuu umenifurahisha aiseeeee its name of the game though ni wabishi kuzingatia hilo
 
nlikua nakula msosi aiseee ile habari ilikua ni anti appetite msos haukulika kabisa mana dem mwenyewe smpendi
 
Safi tu, hamna kitu cha furaha kama hicho, nakumbuka ilikua 2008 wote tukiwa chuo. Mimi mwaka wa mwisho na yeye yupo pale ITA Mwenge/mikocheni anafanya short course.


Hiyo ni baada ya kumiss Apollo yake ya mwezi huo, nimerudi usiku kama saa3 hivi home nakuta kama kachanganyikiwa na PPT Mkononi. She said " baby am pregnant"......kwanza bia zote zikanitoka kichwani. Nikashusha pumzi nikatabasamu nikamwambia " NO we are pregnant" sijawah kumuona akitabasamu na kuglow the way she did that night.

Sasa hivi 3 kids tumeshakua wazoefu. Imebaki memories tu.

Raha sana kuwa baba.
 
Back
Top Bottom