Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Malaya utawajua tu, ndio maana unatetea sana ujinga kumbe ndio tabia zako hizi
 
mbona wakati mna tamaniana mpaka mnaenda kuvuana ulikua na akili tu vizuri zinafanya kazi ndo maana hukutushirikisha sasa jambo dogo tu hilo ambalo ni matokeo ya jambo kubwa lile, unakuja unatusumbua hapa..We komaa tu Dunia uwanja wa fujo
 
Malaya utawajua tu, ndio maana unatetea sana ujinga kumbe ndio tabia zako hizi

Eeeeeeeh jiheshimu, tupo JF humu hatujuani mdau wewe.

Lazima kupeana moyo, unataka nimuambie atoe mimba au? Hiyo utasema wewe.

Ukiita wanawake hivyo jua ulionae na ulipokulia wapo hivyo hilo neno halitoki kwa wanaojitambua.
 
Nakuomba Nereaa usitoe mimba yangu, Mungu akileta mtoto analeta sahani yake..Lete nitamleeeea...usitoe mimba yangu wee

Imeshatokea hivyo..Lea tu hiyo mimba, mtoto ukijifungua umtunze tu na baba yake ajue pia... (ila huko kwa Baba mwenyenyumba sijui nikushaurije)
 
Mimba umembambikizia kakubali... UKIMWI JE? Hiyo tabia ya muosha kucha hajaianza kwako! ntaoa Lema akijiunga CCM
 
wasafisha kucha na bodaboda hii term wanakula bata tu😀😀😀
 
Eeeeeeeh jiheshimu, tupo JF humu hatujuani mdau wewe.

Lazima kupeana moyo, unataka nimuambie atoe mimba au? Hiyo utasema wewe.

Ukiita wanawake hivyo jua ulionae na ulipokulia wapo hivyo hilo neno halitoki kwa wanaojitambua.
Asante kwa kunitia moyo na kunitetea. Kuwa kwangu muwazi kwenu leo ndiyo wananipa jina chafu la umalaya? Wake zao wameficha makubwa zaidi ya haya. Wapeleke watoto wao kwenye DNA machine waone.
 
huwa nakupendaga wewe na mambo yako, but hili umezidisha jaman
whats that!!?
 
Mimba umembambikizia kakubali... UKIMWI JE? Hiyo tabia ya muosha kucha hajaianza kwako! ntaoa Lema akijiunga CCM
Atakataa vipi sasa wakati tunalala na kupakua kila siku? Anaanzaje kukataa? Wala hajui baba wa watu. Mm nimemwambia tu kuwa "mume wangu sizioni siku zangu". akasema baraka ya mtoto mwingine hiyo mke wangu.
 
Ngoja mume wako aje akomenti
 
kumbe uko vema sana kwa ubongo, ila katika siasa unajifanya mtupu. nimekupenda kwa leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…