Ninachohitaji ni nifanyeje ili mtoto asidhurike kipindi hiki cha ujauzito? Maana hofu yangu ni juu ya huyu mtoto niliyenaye.Tukushauri nn sasa? Subiri mtoto azaliwe muda ukifika!!!
Sina operation, Ila. Hofu yangu ni juu afya yangu mimi na mtoto, maana kiukweli kupata ujauzito saivi sikupanga kabisa,Kwani shida ni nini akifikia kujifungua huyo atakuwa na mwaka 1 na miezi kadhaa. Shida kama huyo wa miezi 4 ulijifungua kwa operation yaani kama una mshono ila kama hauna wewe fyatua tu utimize kauli ya Magufuli.
Aksante, ila naomba unisaidie nifanyeje nin? MimiDuuh pole sana mpenzi
Bado sijaenda hospitali , nimeolewa, nina mtoto mmoja tu, umri wangu ni 29 yrs.Umekimbilia huku jamvini, nikuulize maswali tafadhali. Je ulienda hospitali ukawaona wataalamu wa mambo ya uzazi? Je umeolewa? Je ni mimba ya mtoto wa ngapi? Je una umri wa miaka mingapi? Je unajua maana ya uzazi wa mpango? Je afya ya mtoto inaendeleaje kwa sasa?
Ukishajibu walau maswali haya, utawapa wataalamu mahali sahihi pa kuanzia kwani humu jamvini kuna waliobobea kuhusu mambo ya uzazi.
.
Jitahidi kumtengenezea balanced diet, protein ni muhimu sana katika umri huo kwani ndio anajenga mwili na kinga ya mwili vyakula vya wanga na mboga mboga na matunda, ikiwezekana blend matunda mpe puree au smooth anywe.Ila afya ya mtoto sasa inadhoofika ,
Kwani bado ananyonya? Kwanza, kitendo cha kupata mimba ndani ya muda mfupi hivyo inamaanisha ulikuwa hunyonyeshi mtoto mara kwa mara maana kunyonyesha ni njia mojawapo ya kuzuia mimba. Na kama hivyo ndivyo huna haja ya kuogopa, shida ni pale mtoto anaponyonya material isiyotakiwa kwenye mwili wake, fyatua tu!Nachohitaji ni nifanyeje ili mtoto asidhulike kipindi hiki cha ujauzito? Maana hofu yangu ni juu ya huyu mtoto niliyenaye
Mkuu kama hauna mshono basi usihofu kabisa maana hata kule hospital najua walikueleza kuwa uanze kufanya mapenzi baada ya miezi 4 toka ulipojifungua maana yake una uwezo wa kuwa mjamzito baada ya hiyo miezi 4.Sina operation, Ila. Hofu yangu ni juu afya yangu mimi na mtoto, maana kiukweli kupata ujauzito saivi sikupanga kabisa,
NaaamUzuri wake, watakuwa pamoja.
Nanyonyesha, na hadi hivi leo sijawahi kumpa mtoto chochote kile tofauti na maziwa yangu mwenyewe, tatizo saivi naona anaharishaKwani bado ananyonya? Kwanza, kitendo cha kupata mimba ndani ya muda mfupi hivyo inamaanisha ulikuwa hunyonyeshi mtoto mara kwa mara maana kunyonyesha ni njia mojawapo ya kuzuia mimba. Na kama hivyo ndivyo huna haja ya kuogopa, shida ni pale mtoto anaponyonya material isiyotakiwa kwenye mwili wake, fyatua tu!