Niliweka tangazo langu hapa lakinh gari nyingi nina zoletewa sijakubaliana nazo. Hivo naongeza dau mil 5 nipe sport car like celica, Nakuendelea lakin napendelea sana gari manual. Tuma picha whatasapp nikiridhia tunamaliza biashara bila longo longo,karibu...075666479