Nina milion 1, Nataka Passport?

Nina milion 1, Nataka Passport?

Dejavu

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Posts
1,568
Reaction score
3,427
Kichwa cha habari chajieleza sitaki middle man nataka mtu wa kutoka ndani ya uhamiaji kabisa.
Nataka passport ndani ya wiki 2 kwa hiyo bei tajwa hapo juu? Kama unamudu Kazi njoo inbobo.
 
Sasa si ndiyo uende hapo uhiaji jamani.???
Khaaaaa...
 
Kwa mtego huo huna unaye mnasa jaribu huko kwenye mitandao ya Watoto
 
Maavi nimnase Nani sasa? Nataka serious sana hii passport na hakuna haja ya kuonana na mhusika tunafanya hapa hapa JF biashara. Its black Market stuffs.
 
Huwezi mpata mtu humu mkuu wasiojulikana wanapitiaga humu
 
Maavi nimnase Nani sasa? Nataka serious sana hii passport na hakuna haja ya kuonana na mhusika tunafanya hapa hapa JF biashara. Its black Market stuffs.

Aliye kutuma mwambie JF sio Facebook
 
Kichwa cha habari chajieleza sitaki middle man nataka mtu wa kutoka ndani ya uhamiaji kabisa.
Nataka passport ndani ya wiki 2 kwa hiyo bei tajwa hapo juu? Kama unamudu Kazi njoo inbobo.
Hiyo ni pesa kubwa sana, weka 300k kwenye bahasha ya kaki alafu nenda uhamiaji, ukifika baada ya salamu weka bahasha mezani alafu kaa kimya!!
 
One million kwa passport na unapitia Jf ngumu sana nenda wa Mzee wa sisitv atakupa vijana wakusaidie
 
passport huku mtaani kwetu ni 2500 kwa dkk 3 karibu sana.
passport size na passport hapo lazima watokwe na jasho jembamba.
 
Kwani wanafanya biashara ya kuuza passport ?

We fata taratibu zote za upatikanaji WA hizo passport usipende mitelezo
Kichwa cha habari chajieleza sitaki middle man nataka mtu wa kutoka ndani ya uhamiaji kabisa.
Nataka passport ndani ya wiki 2 kwa hiyo bei tajwa hapo juu? Kama unamudu Kazi njoo inbobo.
 
bei ya passport ni 150,000/= na unaipata ndani ya wiki moja baada ya kukamilisha kujaza form na kuwasilisha taarifa nyingine! taarifa za awali unajaza online kuna form zipo kwenye website ya uhamiaji, hakikisha una viambatanishi vyote na umejaza form kwa usahihi, pia utakapo zipeleka hizo form makao makuu ya uhamiaji ukawe mvumilivu kunakua na watu wengi.
kwa maelezo zaidi tembelea website ya uhamiaji
 
300,000 tu peleka hela rudi ukalale watakuletea.
Ukipigwa leta mrejesho
 
Kichwa cha habari chajieleza sitaki middle man nataka mtu wa kutoka ndani ya uhamiaji kabisa.
Nataka passport ndani ya wiki 2 kwa hiyo bei tajwa hapo juu? Kama unamudu Kazi njoo inbobo.
Passport haiuzwi fata utaratibu mbona zinatoka
 
Back
Top Bottom