Nina mihogo heka 2- ya kuuza

Nina mihogo heka 2- ya kuuza

Mjasiriamali1

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2009
Posts
891
Reaction score
240
wadau. mihogo yangu ipo Tayari kwa ajili ya kuuza. ipo handeni Tanga. mizuri kwa ajili kipindi hiki cha mfungo.(mihogo mitamu ya Tanga)
njoo shamba tupatane bei ya jumla. kama upo serius ni p.m
No madali please. only wanunuzi.
 
Mkuu miogo haipimwi kwa heka ungesema zipo gunia kadhaa kwa zao km hilo ambalo linaotea ndani ya ardhi ni vigum kuuzia shambani vuna ndo utangaze nia.
#mtoa maoni tu sio mnunuzi.
 
Kwanza mleta uzi wewe mwenyewe Dalali.
Umeshindwa kupost na kuanishia uzalishaji wako.

Kwa kukusaidia tu,kama upo Jiji la Dar,na kama ni mkulima,basi wakulima wenzio 90% wanatumia madalali.Na 10% hufanya bisahara wao wenyewe.

Na ndio maana ukienda kariakoo na masoko makubwa ya kushusha mizigo kuna watu pale huwa hawatoki siku zote wapo pale na ikifika saa tano sita huwaoni.Wale ndio Madalali wenye kuchukua mzigo shambani na kupelekea wanunuzi ambapo wao mnapata bei kisha wao wananunua kwa jumla na kumuuzia Mfanyabiashara wa mwisho.Bila dalali kwenye mazao ya kilimo kwa shamba hilo utatafuta wateja hadi udate.
 
Damidizzo mhogo si mahindi inatakiwa kuvunwa iuzwe nafikiri unalijua hilo. ikaa sana inaharibika.....
 
Acha ujinga wewe mihogo hiyo pika futari kula na watoto we unauza mihogo kweli?
 
We mleta mada unamaanisha kweli muhogo huu wa kupika, au unamaanisha muhogo alioimba Bibi kidude ????
 
Back
Top Bottom