Nina miaka 27 naonekana kama above 35yrs

Nina miaka 27 naonekana kama above 35yrs

😀😀😃😃🙂🙂hizo ni namba tu usiwaze
 
Mimi ni kijana WA kiume Nimezaliwa 1995 (27miaka) Ila muonekano WANGU ni tofauti kabsa n'a umri wangu halisi.

Nmeuliza watu randomly mtaani wakadirie umri majibu yanarange ,miaka 34,35,36

Nimepata emotional Demage , confidence imepangua sana

Tizama Hizi picha zangu Nmepiga Leo then tia neno au ushauri[emoji848][emoji848]
Lukaku wakati ana miaka 23 alikuwa km ana miaka 33 ila alikuwa anakiwasha km kawa licha ya kwamba watu wengi walikuwa wanamsema kuhusu muonekano wake

Cha muhimu bro ilo jambo usiliweke akilini coz kila mtu ana muonekano wake kwa jinsi alivyoumbwa na mungu . Kuna wengine wana miili midogo unaweza kudhani ni bwana mdogo kumbe ni mtu mzima
 
Bora wewe,mimi nikitangulizana na kaka yangu ninayemfuta mara nne watu husema niko na mdogo wangu,mimi sijari nadunda tu,can you imagine mtu unayemfuta mara nne watu wakuambie ni mdogo wako!?
 
Bora wewe,mimi nikitangulizana na kaka yangu ninayemfuta mara nne watu husema niko na mdogo wangu,mimi sijari nadunda tu,can you imagine mtu unayemfuta mara nne watu wakuambie ni mdogo wako!?
Kwa tofauti ya miaka mingapi?
 
Mimi nikimuuliza mtu akadiriwle umri wangu lazima atataja miaka 5 au 7 pungufu, naonekana bado chalii kumbe nina 48 now.
 
Mimi ni kijana WA kiume Nimezaliwa 1995 (27miaka) Ila muonekano WANGU ni tofauti kabsa n'a umri wangu halisi.

Nmeuliza watu randomly mtaani wakadirie umri majibu yanarange ,miaka 34,35,36

Nimepata emotional Demage , confidence imepangua sana

Tizama Hizi picha zangu Nmepiga Leo then tia neno au ushauri🤔🤔
Pole sana...picha ziko wapi
 
Back
Top Bottom