mm n mwanaume wa miaka 21 cjawahi kufanya mapenzi je itaniletea matatizo ntakapooa?
mbona wapo tu hadi 30's, sema ni wachache.bikira atampata wap ss hiv anakwambia ana miaka 21, kuna bint kafika miaka 18 hajawah kusex cku hiz jaman
Hakika nakuapia, mtu ukishakuwa na "Kijungu", ni ngumu kuwa bikra!. Utatupiga chini wangapi bhana, utamu wa kondoo mkia wake bhana!.Kumbe mabikra tuko wengi humu.
tafuta bikira kama wewe mtajifundisha wenyewe. Its good to explore together
Hakika nakuapia, mtu ukishakuwa na "Kijungu", ni ngumu kuwa bikra!. Utatupiga chini wangapi bhana, utamu wa kondoo mkia wake bhana!.
Mimi n mwanaume wa miaka 21 sijawahi kufanya mapenzi je itaniletea matatizo ntakapooa?