ally habib
Member
- Feb 19, 2013
- 37
- 8
Mimi n mwanaume wa miaka 21 sijawahi kufanya mapenzi je itaniletea matatizo ntakapooa?
mm n mwanaume wa miaka 21 cjawahi kufanya mapenzi je itaniletea matatizo ntakapooa?
tafuta bikira kama wewe mtajifundisha wenyewe. Its good to explore togetherila nahic ntakua mshamba wa penz mbele ya mke wangu kaka
am new in jf ndo mana napost ki facebook kiwatengu alaf kashata ya naz ndo nin?
but its hard 2 get bikrauswahilini@madamex
Mbona we unayo au unaishi uzunguni?????
mm n mwanaume wa miaka 21 cjawahi kufanya mapenzi je itaniletea matatizo ntakapooa?