kisiki kibichi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2019
- 449
- 282
.....Nashindwa kumuonga mwanamke zaidi ya 10000.hata nikiwa na pesa nyingi... Sijuhi nn tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
.....Nashindwa kumuonga mwanamke zaidi ya 10000.hata nikiwa na pesa nyingi... Sijuhi nn tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kakaUmeshakua, sasa hifadhi hela hizo uje ufanye mambo ya kimaendeleo utakutama nao mbele wakiwa wanahitaji mwenye maendeleo sio mwenye pesa tena. Hata ukihonga milioni 2 kwa siku hutapewa tuzo ya mhongaji bora
Jaman msipagawe hana doo.
Uvumilivu, subira
vimeisha poteza dira
maana ngawila
haipatikan kwa uchache huu wa ajira,
Ninacho taka nishinde
na wala sio nifunge
au nitoke bila bila.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashindwa kutoa zaidi ya msimbaziNadhani huo ni udhaifu, ukiuendekeza unaweza ukakufanya ukawa mbahili hata kwa familia yako baada ya kuoa.
Ubahili ni hila na ni tabia mbaya kabisa. Naomba uninukuu vizuri, sijasema uhonge ovyo ila ninachosema ni kwamba hiyo tabia inaweza kukupelekea ukawa bahili.
Mtume ametusihi tuogope ubahili na baadhi ya wataalamu wa uislam wanasema mtu bahili akija akiposa kwenu basi mkataeni.
Kwahiyo mkuu hebu angalia tena hii falsafa kwa jicho la kipekee. Mimi kwa kweli nkiwa nacho natoa.
Kama ndio uwezo wako unapoishia basi hamna neno mkuu
Kama ndio uwezo wako unapoishia basi hamna neno mkuu
Ok
Ubahili ndio tatizo lako.....Nashindwa kumuonga mwanamke zaidi ya 10000.hata nikiwa na pesa nyingi... Sijuhi nn tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app