Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 2,412
- 3,198
1. Kwanini ulimwengu unaonekana umetengenezwa mahsusi kwaajili ya kuishi?
- Kama mawazo ni matokeo ya michanganyiko ya kemikali, si unaweza kukosea bila sababu?
- unajuaje fikra zako ni za kuaminika?
3. Uwepo wa sheria unatokana na nini kama hakuna sheria - Muweka?
• Kama kuna laws of nature, kuna chanzo chake?
• Seria zinawezaje kuwepo bia akili ya kuzitunga?
4. Je sayansi inaweza elezea kila kitu?
-Kuna hisia, maadili, uzuri, namba, mantiki... vitu ambavyo si vya kimwili.
-Je, sayansi inaweza kufafanua vyote?
5. Kwanini binadamu wote wanahisi kuna kiwango cha haki?
6. Kwanini tunashauku ya mambo ya kiroho
7. Kwanini mwanafalsafa mkubwa kama
Einstein, Newton, Galileo aliamini kuwa kuna akili nyuma ya ulimwengu?
-Je, hawa walishindwa kufikiri?
_ Au waliona kitu kingine cha ndani?
8. Kwanini atheist aamini kitu kisichoonekana ( electrons, gravity)
Lakini akatae Mungu kwasababu haonekani?
-Electrons hazionekani kwa macho, tunaziamini kwa madhara yake.
-Mungu pia huaminiwa kwa matokeo yake kwenye maisha
-TOFAUTI IKO WAPI?
9. Bila Mungu, kuna tofauti gani ya ki objective kati ya mema na mabaya?
10. Kwanini binadamu wana dhamira
(Conscience)?
11. Je upendo unaweza kuwa kemikali tu?
- Constants za fizikia kama gravity, strong force, proton mass n.k. ziko sahihi mno.
- Kwa nini kila kitu kiko "timing" ya kutosha kutuwezesha kuishi?
- Kama mawazo ni matokeo ya michanganyiko ya kemikali, si unaweza kukosea bila sababu?
- unajuaje fikra zako ni za kuaminika?
3. Uwepo wa sheria unatokana na nini kama hakuna sheria - Muweka?
• Kama kuna laws of nature, kuna chanzo chake?
• Seria zinawezaje kuwepo bia akili ya kuzitunga?
4. Je sayansi inaweza elezea kila kitu?
-Kuna hisia, maadili, uzuri, namba, mantiki... vitu ambavyo si vya kimwili.
-Je, sayansi inaweza kufafanua vyote?
5. Kwanini binadamu wote wanahisi kuna kiwango cha haki?
- kila mtu hupinga dhula, hata wanyang’anyi.
- Je hisia ya haki na udhalimu inatoka wapi?
6. Kwanini tunashauku ya mambo ya kiroho
- Historia nzima binadamu amekuwa akiabudu au kuamini nguvu ya juu.
- kwanini hamu hii IPO ndani ya binadamu?
7. Kwanini mwanafalsafa mkubwa kama
Einstein, Newton, Galileo aliamini kuwa kuna akili nyuma ya ulimwengu?
-Je, hawa walishindwa kufikiri?
_ Au waliona kitu kingine cha ndani?
8. Kwanini atheist aamini kitu kisichoonekana ( electrons, gravity)
Lakini akatae Mungu kwasababu haonekani?
-Electrons hazionekani kwa macho, tunaziamini kwa madhara yake.
-Mungu pia huaminiwa kwa matokeo yake kwenye maisha
-TOFAUTI IKO WAPI?
9. Bila Mungu, kuna tofauti gani ya ki objective kati ya mema na mabaya?
- kama hakuna standard ya juu, mema na mabaya yanakuwa mawazo tu?
- Je ubakaji, mauaji, udanganyifu ni mabaya au tunadhania ni mabaya tu?
10. Kwanini binadamu wana dhamira
(Conscience)?
- Nini kinakufanya ujisikie vibaya pale ukifanya kosa?
- Evolution pekee inaweza elezea hilo?
11. Je upendo unaweza kuwa kemikali tu?
- Unapompenda mtu, ni sumu ya dopamine tu?
- Hiyo inatosha kuelezea kila kitu?