Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
Wakuu.
Kwa jinsi hii chain /mnyororo wa vyeti fake kwenye ofisi za serikali ilivyokaa vibaya na kunyakua watu 9,000 awamu hii ya kwanza, wale walioko mtaani ni bora tu wakaji-asses au kujikagua wenyewe uhalali wa vyeti vyao kabla ya kuomba kazi za serikali.
Inavyoonekana, wauzaji na wachapishaji wa vyeti ambavyo vimeponza familia nyingi sasahivi, bado waliendelea kuvifyatua hata kwa vijana wetu, nchi zetu, watoto wetu ambao baadhi matokeo yao hayakuwa mazuri katika kuendelea na masomo ya juu.
Hatuna uhakika na haieleweki kwamba, hawa wanaoomba au wanaotafuta kazi mtaani, wana vyeti halali au laa!! Majina yamegongana au laa!!
Kuwepo na data base kat ya necta, vyuo na waajiri kwa kuitumia cheque number au majina ili kuweza kunyaka watu mapema zaidi.Huenda hata hawa wanaotafuta ajira mpya,nao wana vyeti fake.
Wasaalam.