Goodluck TZ
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 1,448
- 662
wadau mko poa ?
kama kichwa juu kinavyosema mimi kwa upande wangu namashaka na simu za TECNO kwa sababu weng wanaoomba msaada humu jf,fb & whatsapp ni kuhusiana na simu hz ni mara chache kuona p0st kuhusiana na SAMSUNG,iphone,n0kia nk.

ukiwa una cheki movies on line or watching football. Kama kuna kingine basi sawa ila kwa tecno wamejitahidi and I'm expecting more than that.