Kitendo alichokifanya ndio kibaya kama kweli hayo uloyaona ni ushirikina but nia yake sio mbaya maana yeye kafanya hayo ili lengo la wewe kumuoa litimie...shida ni wewe ndio unamshinikiza mpaka kufikia kufanya haya mambo...una nia kweli ya kumuoa fuata tataritb za ki imani na kama huna nia acha kabisaaa kumchezea huyo binti na mapemaaa..ataumia but najua atapata tu wa kumuoa ila sio wewe kumchezea na kuzidi kumtia stress mtoto wa watu mpaka anatafuta njia mbadala ya kukushawishi.. ni hayo tu