Mahindi ya mwaka huu ama ya mwaka jana.Bei yako ni kiasi gani ulipo?Ndugu wana jamvi Nina gunia elfu NNE za mahindi Dodoma ,Naomba kwa anae jua soko la nnje ya nnchi au kama kuna wanunuzi wakunifata nilipo daodoma tuwasiliane.
Natanguliza shukrani zangu za zati.
Hongera mkuu ukipata mteja mwenye bei kubwa kuliko wote nishtue na mm niuze yangu. Japo yangu ya mwaka huu.Ndugu wana jamvi Nina gunia elfu NNE za mahindi Dodoma ,Naomba kwa anae jua soko la nnje ya nnchi au kama kuna wanunuzi wakunifata nilipo daodoma tuwasiliane.
Natanguliza shukrani zangu za zati.
Hayo ya mwaka jana naomba unipe bei mkuu na mahali gani yalipo DodomaNdugu wana jamvi Nina gunia elfu NNE za mahindi Dodoma ,Naomba kwa anae jua soko la nnje ya nnchi au kama kuna wanunuzi wakunifata nilipo daodoma tuwasiliane.
Natanguliza shukrani zangu za zati.