Nina laki tatu tyu nataka. PC ya. core i3na RAMU 4GB .....Naweza pata ama kama inapatikana. Please nijuzeni. Wana JF
Upo wapNtaipata veep
Mmh nilinunua used core i5, ram 4g, disk 320, chaji 3hours Kwa movie..
Ilikua 360k , jilipue kariakoo kama upo dar
Ngoja nicheki risiti. Alaf ntakutumiak/koo sehemu gani au kama una namba zao nipe
daudintho